Namuogopa X wangu

Namuogopa X wangu

Hahaha............wamefanya vizuri kutukumbuka Wazee kwenye upande wa burudani.

Nimeshawapigia simu marafiki zangu wa mwaka 47, tumekubaliana kwenda kuburudishwa na Mzee King Kiki Jumamosi hii 🤗
😁😁😁 daaahhh 47 .. Sawa mzee usisahau kubeba kitambaa cheupe
 
As Salaam Alaikum dear all.

Wakuu,kuna X wangu ambae niliona ili niwe na amani ya moyo na kujilinda na stress ni kukata mawasiliano nae.Yaani simpigii, simtext wala sipokei wala kujibu text zake.

Sasa huyu bwana nilishamwambia mara kibao kuwa sitaki anipigie wala anitext ila siku akijisikia anapiga sipokei. Atakaa tena siku anatext sijibu.

Siku tena akijisikia atapiga au atatext sijibu ila nakua nakasirika kwanini aheshimu ombi langu kuwa sitaki mawasiliano nae!Na simblock sbb nilishawahi kumblock akanitafuta kwa namba nyingine.

Sasa sbb yakuandika huu uzi ni kwamba kuna kitu sijielewi kuhusu huyu mtu na sijui nifanyaje iwe tofauti.

Ni hivi,wakati tuko pamoja nilikua namuheshimu sana na kumuogopa huyu mwanaume ila tatizo ni kwamba pamoja na kuwa tumeachana bado namuogopa flani hivi 🤣 na nahisi kagundua hicho kitu na ndo sababu anapuuzia katazo langu kwa sababu sina ujasiri wa kuongea nae kwa ukali kwa mdomo kwa kumaanisha kuwa sitaki anitafute.

Nina ujasiri tu wa kumwambia kwa text. Tatizo text zangu zenyewe anazidharau tu hata hazijibugi na akijisia anapiga tu saa yeyote au anatext bila kujali kuwa inaweza kuleta shida.

Sasa recently, nimefanya kitu nikajidharau sana. Huyu X alipiga simu usiku mwingi, kuamka naona namba yake. Nikakasirika sana, nikasema huyu leo atanijua mimi nani. Nikaapa kuwa leo namtukana, nampa mineno ya hovyo hadi akome but poor stupid me,😭nilivyopokea tu na nikasikia sauti yake ujasiri wote wa kumtukana ukaisha.

Sikuweza tena kumpa mineno ya hovyo niliyopanga kumpa instead nikawa naongea nae kwa heshima na unyenyekevu ☹️ kama zamani😭.

Alivyokata simu tu ndo nikamuandikia sasa sms kuwa sitaki mawasiliano nae.

Wakuu,sitaki kuendelea kumuogopa huyu mtu.Nifanyaje niweze kumwambia kwa mdomo wangu.

Naamini siku nikiweza kumpandishia sauti huyu ataheshimu ombi langu

Rudisha kwanza vile vyote alivyokupa ndiyo uyapata ujasiri huo unaoutaka.Huwezi kumfokea kwa kutumia simu aliyokununulia yeye mwenyewe.Mungu akusaidie kukutia ujasiri wa kumwambia ukweli.
 
Hajibu text za nikimwambia sitaki aniandikie tena ila yeye mwenyewe siku akijisikia kunizingua ananiandikia
Sasa akujibu nini hapo, jibu halipo na hawezi kukuahidi kuacha kitu ambacho hawezi kuacha ni vile unamfosi aache. Nyie mnapendana
 
Mtu akikupenda mbona unajua tu mkuu!
Sidhani kama ana roho mbaya kiasi cha kutaka kuniumiza kwa kisasi
Kwahyo ni kwamba hakupend?
Upo na mahusiano mapya ambayo unahofia mkiendeleza mawasiliano atayahatarisha?
 
Back
Top Bottom