Namuogopa X wangu

Hahaha............wamefanya vizuri kutukumbuka Wazee kwenye upande wa burudani.

Nimeshawapigia simu marafiki zangu wa mwaka 47, tumekubaliana kwenda kuburudishwa na Mzee King Kiki Jumamosi hii πŸ€—
😁😁😁 daaahhh 47 .. Sawa mzee usisahau kubeba kitambaa cheupe
 

Rudisha kwanza vile vyote alivyokupa ndiyo uyapata ujasiri huo unaoutaka.Huwezi kumfokea kwa kutumia simu aliyokununulia yeye mwenyewe.Mungu akusaidie kukutia ujasiri wa kumwambia ukweli.
 
Hajibu text za nikimwambia sitaki aniandikie tena ila yeye mwenyewe siku akijisikia kunizingua ananiandikia
Sasa akujibu nini hapo, jibu halipo na hawezi kukuahidi kuacha kitu ambacho hawezi kuacha ni vile unamfosi aache. Nyie mnapendana
 
Nikodishe kama mpenzi wako wa maigizo,, nakuhakikishia kabisa, hatoendelea Kukusumbua na atakubali kumove on kiroho safi bibie πŸ˜‘πŸ˜‘
 
Mtu akikupenda mbona unajua tu mkuu!
Sidhani kama ana roho mbaya kiasi cha kutaka kuniumiza kwa kisasi
Kwahyo ni kwamba hakupend?
Upo na mahusiano mapya ambayo unahofia mkiendeleza mawasiliano atayahatarisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…