Namuombea dua Rais Samia arudi salama na aendelee na majukumu yake Kama kawaida

Nitamuombea sasa hivi zamu ya MAMA SAMIA, zam zam sina ninayemchukia MKUU
Hujaandika hiki kwa Tundu Lissu na yupo gerezani zaidi ya mwaka sasa. Samia amesafiri jana tu unaleta unafiki wako hapa!!
 
Hujaandika hiki kwa Tundu Lissu na yupo gerezani zaidi ya mwaka sasa. Samia amesafiri jana tu unaleta unafiki wako hapa!!
Kila kitu kina mda wake, uwepo online kuanzia sasa mchana mpaka jioni nitapandisha uzi kumuhusu TAL
 
Saf san tumeona juhudi zako... Kesho fika ofis ndogo Lumumba uchukue elfu saba yako!! Endeleza juhudi
 
 
Hapana mimi sio mnafiki.
Mimi namuombea mabaya kama Ajali, kutekwa, kesi, kifo nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…