Mpole unamjuaNyie mlitakaje?ktk straika wenu tz yote nani anamkuta Fiston mayele?
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Yale magoli aliyowabamiza kwa mkapa huku yaona?Tuwekee goli la mayele la kimataifa hapa ili mada yako iwe vizuri iendane na uhalisia.
Hajawahi kutufunga Yanga huyoMpole unamjua
Kwani uongo? Ligi yetu ni ya kimama sana, ndio mana kimataifa tunaishia kupigwa nje ndani, dakika za mwanzoni tuLeo nimesoma comment za wakongo kuhusu Fiston Mayele. Pamoja na kuwa Mayele hapa kwetu tunamuona King wa Goals, kwao Kongo kule kuna watu hawamkubali kabisa na kila akifanya vizuri kazi yao ni kusema ligi ya Tanzania ni dhaifu ndo maana anafanya vizuri.
Ila kinachonishangaza Fiston Mayele kwenye ligi ya Kongo alifunga mabao 14 msimu mzima na kuwa mfungaji namba 2 wa ligi “ngumu”; sasa kwanini wanamuita dhaifu?
Any way nabii hakubaliki kwao. Hata Messi kuna kipindi alitaka kustaafu kwenye timu ya taifa kwasababu ya maneno ya ndugu zake.
Na kingine Kongo kuna ukabila sana. Watoka Kinshasa hawataki watoka Lubumbashi wawe juu na watoka Lubumbashi hawataki watoka Kinshasa wawe juu.
Ndio ya kimataifa?Yale magoli aliyowabamiza kwa mkapa huku yaona?
Kwamba wewe unayajua sana magoli ya kimataifa kuliko Mayele mwenyewe?Ndio ya kimataifa?
Kalala mayele kiboko ya makoloHuo ndiyo ukweli. Transfer kutoka AS Vita inayoshikilia nafasi ya 9 Africa kwenda kwenye Utopolo inayoshikilia nafasi ya 392 inadhihirisha hili jamaa limekuwa dhaifu kupindukia
Kwa uelewa wa mhusika lile si la kimataifa ni la Kinchi.Aliye wafunga Tanzania mwaka 2020 ni nani?
Na Tanzania kwa ujumla akiwemo Karia.Kwa hyo ubora wake nikumfunga simba tu.
Hivi hii timu iliyopigwa 3 o'clock Uganda ina striker wa kiwango cha Mayele?Drc ina ma professional players wengi mno dunia yote hicho ndicho kinachowachanganya baadhi ya wa congo kumuona jamaa wa kawaida lakini si hivyo..
Huyu mwamba angeipata chance aliyeipataga Samatta aston villa hakika tungeongea mengine hapa saa hii
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app