Namuombea Fiston Mayele afanye vuziri kimataifa

Namuombea Fiston Mayele afanye vuziri kimataifa

Leo nimesoma comment za wakongo kuhusu Fiston Mayele. Pamoja na kuwa Mayele hapa kwetu tunamuona King wa Goals, kwao Kongo kule kuna watu hawamkubali kabisa na kila akifanya vizuri kazi yao ni kusema ligi ya Tanzania ni dhaifu ndo maana anafanya vizuri.

Ila kinachonishangaza Fiston Mayele kwenye ligi ya Kongo alifunga mabao 14 msimu mzima na kuwa mfungaji namba 2 wa ligi “ngumu”; sasa kwanini wanamuita dhaifu?

Any way nabii hakubaliki kwao. Hata Messi kuna kipindi alitaka kustaafu kwenye timu ya taifa kwasababu ya maneno ya ndugu zake.

Na kingine Kongo kuna ukabila sana. Watoka Kinshasa hawataki watoka Lubumbashi wawe juu na watoka Lubumbashi hawataki watoka Kinshasa wawe juu.
Kwani uongo? Ligi yetu ni ya kimama sana, ndio mana kimataifa tunaishia kupigwa nje ndani, dakika za mwanzoni tu
 
Drc ina ma professional players wengi mno dunia yote hicho ndicho kinachowachanganya baadhi ya wa congo kumuona jamaa wa kawaida lakini si hivyo..
Huyu mwamba angeipata chance aliyeipataga Samatta aston villa hakika tungeongea mengine hapa saa hii

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Hivi hii timu iliyopigwa 3 o'clock Uganda ina striker wa kiwango cha Mayele?
 
Back
Top Bottom