Namuombea Msamaha DC Magoti kwa Watanzania wote

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Dc Petro Magoti ameteleza katoa kauli mbaya sana, kwamba atawatandika watu mpaka wapate ukilema, ile kauli sio nzuri kweli, lakini kwa namna watanzania mnavyomshambulia huko Instagram mpaka sasa namuonea huruma!

Vita imejikita sasa kwenye maumbile yake yani imekuwa too personal yaani sio mambo ya siasa tena.

Dc Magoti jifunze kwa hili, watu wamedata hawajali kuhusu kukufuru Mungu wala nini, kuna comment nimezisoma mpaka nikakuonea huruma mzee.

Soma Pia:GE2025 - DC Magoti: Kama unataka kuzeeka ukiwa Kiwete andamana, ntawapiga mpaka Sura iwe kama Nyama Choma ya Porini
 
Huwa wanajisahau sana wakiwa kwenye madaraka ila wakiwa nje ya uwanja wanakuwa na akili,

Yaani DC anatoa kauli ambayo hata yeye amejisahau kama ana "HALI HIYO".

Polepole ndiyo aliyemtoa DC lakini amekaa kimya juu ya utekaji wake.

DC na Massawe ndiyo wanaohusika kumpa SUMU "LANGUMA"
 
Hii code ya aliyekuwa naibu mwenyekiti bara MALANGU nimekuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…