Sadiki Abdallah
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 885
- 582
Zullu?!!Hakuna aliyekuwa na chembe ya shaka baada ya kukamilika kwa mtanange wa ngao ya hisani kuhusu Pappy.
Man of the Match Mkongomani Pappy Kabamba Tshishimbi anaonekana kuwa na damu yenye vina saba na mchezaji wa Taifa la Holand Edgar Davis.
Tutegemee tuzo ya mchezaji bora wa kigeni msimu wa 2017/18 kutua mikononi mwa Pappy K. Tshishimbi.
Huyu Jamaa anafanya kazi ambayo ilikuwa ikifanywa na wachezaji wawili wa msimu uliopita yaani (Niyonzima + Zullu).
Nisiongee sana ngoja nitafakari jinsi Dogo Gadiel MICHAEL alivyomuweka mfukoni Emmanuel A. Okwi.
Badala kumshukuru mungu umeponea chupuchupu kubakwa hadharani wewe unaleta nyodo! Wenyewe wanakusikia ujue!Nimeona Kikosi cha Bilion 1.3 kikitoa sare dhidi ya kikosi cha Mil 540.
Na bado umesajili ili uhakikishe unafunga magoli mengi....
Badala kumshukuru mungu umeponea chupuchupu kubakwa hadharani wewe unaleta nyodo! Wenyewe wanakusikia ujue!
Ukijipendekeza ndio utajua kuwa maharage ni mboga na ni futari pia ni kiwanda cha msimbati.
Atacheza misimu mingapi? Au umemfananisha na kabwiliTuzo ya mchezaji bora wa Kigeni naona akiibeba kila msimu.
Bingwa wa kukwepa swali na kujibu unachojua hakikuumizi nafsiEndelea kubisha, Maana ulibisha msimu wa 2016/17 Yanga hawezi kuwa Bingwa. Ukabisha hata kumtambua Bingwa lakini mwisho wa siku ulimtambua kwa lazima.
mapema sana tena sana kumsifia.Hakuna aliyekuwa na chembe ya shaka baada ya kukamilika kwa mtanange wa ngao ya hisani kuhusu Pappy.
Man of the Match Mkongomani Pappy Kabamba Tshishimbi anaonekana kuwa na damu yenye vina saba na mchezaji wa Taifa la Holand Edgar Davis.
Tutegemee tuzo ya mchezaji bora wa kigeni msimu wa 2017/18 kutua mikononi mwa Pappy K. Tshishimbi.
Huyu Jamaa anafanya kazi ambayo ilikuwa ikifanywa na wachezaji wawili wa msimu uliopita yaani (Niyonzima + Zullu).
Nisiongee sana ngoja nitafakari jinsi Dogo Gadiel MICHAEL alivyomuweka mfukoni Emmanuel A. Okwi.
Unatia aibu unaposema ni kikosi cha 450m unasahau mlikuwa mnajazia tu walotoka ila hiyo hesabu kwani kuna kamusoko, chirwa, tambwe, abdul, mahadh na wale wote mlokuwa nao? Ukiangalia kwa ujumla wa kikosi bado mmetumia gharama nyingi ninyi.. Unajifariji tambwe na chirwa hawakuwepo, umesahau mechi ngapi walikuwepo na mkala mbata? Acha unazi tumia akili kidogo... Sio kila kitu lazima uwe mjuaji.. Huyo tshishimbi ni kweli alicheza vizuri na ndo maana hamkufungwa mapema na gadiel
hahahahaha mkuu umenichekesha. Eti chupuchupu. Hebu tumia angalau percentage chache ya uwezo wako wa kufikiri. Kikosi cha Bilioni 1.3 ndo huwa kinabaka vile...tena dhidi ya kikosi cha Milion 450?
Shukuru Mungu Kuwa mbaya wako "Amis Joslin Tambwe" na kijana machachari aliyefungiwa na shabiki wa simba(karia) aiwaye "Obrey Cholla Chirwa" hawakuwapo wote.
vinginevyo mngekuwa mitaa ya msimbazi pale mkiwataka viongozi wenu wairudishe timu mikononi mwenu kutoka kwa "MO".
Angalia na mtu unae mshauri.. Subiri aje akwepe swalimapema sana tena sana kumsifia.
UNAMKUMBUKA JAJA KWENYE MECHI YAKE YA KWANZA YA NGAO YA HISANI VS AZAM FC?
Yani hawa jamaa wameona jana wameshindwa wanaleta sababu za kijuha.Angalia na mtu unae mshauri.. Subiri aje akwepe swali
Ndo ushangae.. Lakini kila mara huyu bwana ni kuikosoa simba tu! Sijui simba ikifanya madudu yeye anaumiaje wakati yeye ni chura fcYani hawa jamaa wameona jana wameshindwa wanaleta sababu za kijuha.
hivi hawajiulizi ni kwanini huyo shishi baby na gadiel michael ndio walikuwa wanaonekana sana? simply walikuwa wanashambuliwa sana na mara zote walizokuwa wanaonekana ilikuwa ni wakati wakuokoa mashambulizi.
Yani hawa jamaa wameona jana wameshindwa wanaleta sababu za kijuha.
hivi hawajiulizi ni kwanini huyo shishi baby na gadiel michael ndio walikuwa wanaonekana sana? simply walikuwa wanashambuliwa sana na mara zote walizokuwa wanaonekana ilikuwa ni wakati wakuokoa mashambulizi.
mapema sana tena sana kumsifia.
UNAMKUMBUKA JAJA KWENYE MECHI YAKE YA KWANZA YA NGAO YA HISANI VS AZAM FC?
Jibu swali acha mbwembwe, kwani haruna kaja vipi hapa
Pia tujiulizeHaruna amecheza Yanga misimu mingapi? Baada ya hapo utakuwa umepata jibu.
Tshishimbi kasimama eehh? Bora ungei crop huyo shishi asionekaneMhh Eti walikuwa wakishambuliwa muda wote! Ona mtu akipigishwa magopi hapobila kupenda. Waswahili wanasema "Muosha, Huoshwa" Hahaha
View attachment 573892
Kwanza muone yeye pekee wao wangapi hapo ndo utajua mlimwogopa sanaMhh Eti walikuwa wakishambuliwa muda wote! Ona mtu akipigishwa magopi hapobila kupenda. Waswahili wanasema "Muosha, Huoshwa" Hahaha
View attachment 573892
Kama ulianza mapema basi ni kipindi akiwa simba maana ninyi mlimuokota baadae sana baada ya kuwaliza vyakutosha
Kwani JaJa alikuwa scouted na Yanga? Yule si aliletwa tu na Maximo. By the way sikuwahi kupost humu nikimsifia Jaja hata siku moja.
Pia kumbuka tulianza mapema sana kumsifia Tambwe, na wala hakuwahi kutuambisha. Kila akikutana na MIKIA FC kwa namna yeyote ile ni lazima atupie.