patrick fimbo
Member
- Aug 24, 2017
- 13
- 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good analysisHajaziba pengo la Niyonzima..Ameziba mapengo ya Athuman Idd Chuji na Frank Domayo..Alivoondoka Chuji pengo lake lilizibwa na Domayo...Alivoondoka Domayo Yanga imekuwa na tatizo la DM..Juma Seif Kijiko na Said Juma Makapu wameshindwa kuziba pengo hilo..Aliletwa Justin Zulu naye kashindwa kuziba pengo...Mara chache Salum Telela aliimudu nafasi hiyo...
Msimu uliopita Haruna Niyonzima alikuwa akicheza namba 8 au 7 hali iliyomlazimu Thaban Scara Kamusoko kucheza namba 6..
Hivyo si sahihi kusema Papy ameziba pengo la Niyonzima..Pengo la Niyonzima kwa sasa litazibwa na Kamusoko pamoja na Raphael Daud na bwana mdogo Gwamaka Edward Mwakalukwa (Maka Edward)...
Unazungumzia ENZI za YANGA KUCHEZA PEKUPEKU?na KUCHEZA TUMBO wazi....labda NDY takwimu zitawabeba...Lakini si kwa KIPINDI CHA sheria 17 ZA FIFA...MGONGO WAZI FC mmekuwa MTEJA wa MNYAMA FC...
Hebu uliza MIKIA wenzako nani amemfunga mwenzake mechi nyingi ? Ukipata jawabu ndio urudi hapa.
Unazungumzia ENZI za YANGA KUCHEZA PEKUPEKU?na KUCHEZA TUMBO wazi....labda NDY takwimu zitawabeba...Lakini si kwa KIPINDI CHA sheria 17 ZA FIFA...MGONGO WAZI FC mmekuwa MTEJA wa MNYAMA FC...
Ni mapema sana kumsifia Tshishimbi kwa kiwango hicho mnachomsifia.
Jaja naye mlimsifia hivi hivi na akaja kupotea.
Tusubiri ligi ianze na acheze mechi nyingi ndo tuweze kutathmini kiwango chake.
Kama ni sare kwa nn ngao imeenda msimbaz we shabik wa patrick nchimbiNimeona Kikosi cha Bilion 1.3 kikitoa sare dhidi ya kikosi cha Mil 540.
Na bado umesajili ili uhakikishe unafunga magoli mengi....
Nipo iringa this week, leo nimehudhuria mazoezi ya timu yako Lipuli FC hapa kwenye viwanja vya Chuo cha Kreluu........Sijamuona huyo kiungo unayemzungumzia.Huyo nchimbi wenu atafichwa na kiungo ya lipuli jumapil had mshangae
Sent from koromije using bashite
Hata makap mlimwita majina yote,,sasa ngoja wakampangie nyumba pale sinza kwa wale madem kama hamtamchukia baada ya nusu msimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam. Ni hivyo.Ww unamaanisha kikosi cha million elufumoja na ushenzi dhidi ya kikosi cha million 540
Sent using Jamii Forums mobile app