Namuona Edgar Devis kwenye damu ya Pappy Tshishimbi

Ni mapema sana kumsifia Tshishimbi kwa kiwango hicho mnachomsifia.

Jaja naye mlimsifia hivi hivi na akaja kupotea.

Tusubiri ligi ianze na acheze mechi nyingi ndo tuweze kutathmini kiwango chake.
 
Good analysis
 
Hebu uliza MIKIA wenzako nani amemfunga mwenzake mechi nyingi ? Ukipata jawabu ndio urudi hapa.
Unazungumzia ENZI za YANGA KUCHEZA PEKUPEKU?na KUCHEZA TUMBO wazi....labda NDY takwimu zitawabeba...Lakini si kwa KIPINDI CHA sheria 17 ZA FIFA...MGONGO WAZI FC mmekuwa MTEJA wa MNYAMA FC...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unazungumzia ENZI za YANGA KUCHEZA PEKUPEKU?na KUCHEZA TUMBO wazi....labda NDY takwimu zitawabeba...Lakini si kwa KIPINDI CHA sheria 17 ZA FIFA...MGONGO WAZI FC mmekuwa MTEJA wa MNYAMA FC...

Wazazi wako waliposema sasa mwanangu umekuwa walianza kuhesabu miaka yako tangu walipokuzaa au baada ya kubarehe?
 
Ni mapema sana kumsifia Tshishimbi kwa kiwango hicho mnachomsifia.

Jaja naye mlimsifia hivi hivi na akaja kupotea.

Tusubiri ligi ianze na acheze mechi nyingi ndo tuweze kutathmini kiwango chake.
 
Ni mapema sana kumsifia Tshishimbi kwa kiwango hicho mnachomsifia.

Jaja naye mlimsifia hivi hivi na akaja kupotea.

Tusubiri ligi ianze na acheze mechi nyingi ndo tuweze kutathmini kiwango chake.

Kamaumewahi kumuonakwenye mechi dhidi ya Azam, wala hutotaka kuhitaji mechi 5 kujiridhisha na ubora wake.
 
Nimeona Kikosi cha Bilion 1.3 kikitoa sare dhidi ya kikosi cha Mil 540.
Na bado umesajili ili uhakikishe unafunga magoli mengi....
Kama ni sare kwa nn ngao imeenda msimbaz we shabik wa patrick nchimbi

Sent from koromije using bashite
 
Huyo nchimbi wenu atafichwa na kiungo ya lipuli jumapil had mshangae

Sent from koromije using bashite
 
Huku mtaani kwetu kuanziaa jana nimewaambia waniite papy kabamba tshimbimbi ba mutu ya kongo
 
Hata makap mlimwita majina yote,,sasa ngoja wakampangie nyumba pale sinza kwa wale madem kama hamtamchukia baada ya nusu msimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni sare kwa nn ngao imeenda msimbaz we shabik wa patrick nchimbi

Sent from koromije using bashite
Naona unanilisha maneno! wapi nimesema hivyo?
 
Huyo nchimbi wenu atafichwa na kiungo ya lipuli jumapil had mshangae

Sent from koromije using bashite
Nipo iringa this week, leo nimehudhuria mazoezi ya timu yako Lipuli FC hapa kwenye viwanja vya Chuo cha Kreluu........Sijamuona huyo kiungo unayemzungumzia.

kaka yako Matola anakusalimu.
 
Hata makap mlimwita majina yote,,sasa ngoja wakampangie nyumba pale sinza kwa wale madem kama hamtamchukia baada ya nusu msimu

Sent using Jamii Forums mobile app

Unazungumzia kule ambapo Niyonzima alipangiwa nyumba na viongozi wa Yanga? Naama kama Tshishimbi atakula waada wale wale ambao Niyonzima alikuwa anakula, sioni sababu ambayo itamfanya tshishimbi kushuka kiwango ikiwa kiwango cha Niyonzima hakijashuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…