britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Wamemtafuta muda mrefu, wamepata sababuAyatollah Khamenei
Israel wao katika shughuli zao uwa wanadili na viongozi
Hezbollah walipukutika
Hamasi wakapukutika
Sasa Iran ile crew yote ya juu imesafishwa
Target yaweza kuwa khamenei
Nina uhakika
Hafiki week mbili mbele
Japo na Iran nao hawako kinyonge, isingekuwa Jordan na Marekani pale kati
Makombora mengi yangetua Tel Aviv japo yapo yaliyopenya
R.I.P Khamenei in advance
Britanicca
Succesor alikuwa anatajwa ni mwanae, lakin kuonfokewa kwake kutaifanya iran ijitifakar upyaAtakufa ila tambua kuna successor wake ,wairan wanampenda sana huyu mzee ule ukweli kabisa.
ExactlySuccesor alikuwa anatajwa ni mwanae, lakin kuonfokewa kwake kutaifanya iran ijitifakar upya
HakikaMimi naangalia Kwa upande wa uchumi itakuwa mbaya zaidi Kwa Iran kwasababu vyanzo vyake vingi vimeangamizwa......
Iran haina political struggle kama Netanyhulu anayepigania uchaguzi ..Hao viongozi walioliwa juzi basi successors wao wamecovee seatSuccesor alikuwa anatajwa ni mwanae, lakin kuonfokewa kwake kutaifanya iran ijitifakar upya
Labda kuhofia uchumi na vikwazo lukuki.Mimi naangalia Kwa upande wa uchumi itakuwa mbaya zaidi Kwa Iran kwasababu vyanzo vyake vingi vimeangamizwa......
Wanaenda kumkata kichwa baada ya kupata kibariWamemtafuta muda mrefu, wamepata sababu
Israel ya JF inateketea kwa moto.Unaandika upuuzi Israel yote inateketea na moto Israel TEL Aviv ni majivu
Akishafumuka ubongo tutaongea lugha mojaLabda kuhofia uchumi na vikwazo lukuki.
Hao wote ni wababeNajiuliza Yule Mwarabu Aliyemwita Kagame vs Chisekedi
Akawaongea Nao Kuwapatanisha
Kwanini Asiwaite Benjamin vs Ayatollah