baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Hivi mfalme ama malkia wa Uingereza akifa Uingereza ina paranganyika? Khamenei ni spiritual leader tu tena mzee ana miaka 86.Ayatollah Khamenei
Israel wao katika shughuli zao uwa wanadili na viongozi
Hezbollah walipukutika
Hamasi wakapukutika
Sasa Iran ile crew yote ya juu imesafishwa
Target yaweza kuwa khamenei
Nina uhakika
Hafiki week mbili mbele
Japo na Iran nao hawako kinyonge, isingekuwa Jordan na Marekani pale kati
Makombora mengi yangetua Tel Aviv japo yapo yaliyopenya
R.I.P Khamenei in advance
Britanicca
Mbona hawafiki 72
Hizo ni propaganda hazina uhalisia😅 umenoa Maandamno huko USA yakirushwa kwenye media kubwa?Serikali ya ma Ayatollah ndio inafika mwisho
Hapendwi mara ya kwanza ilikuwa nusura wanawake wampindue kwa kushinikiza kuwa wanawake waislamu lazima wavae hijabu.Akauawa msichana mmoja na askari wa dini kwa kutovaa hijabu
Maandamano yakalipuka nchi nzima kutaka Ayatollah aondoke akaondoa askari wa dini na wanawake sasa hivi Iran wanavaa watakavyo ni hiari yao
Sasa hivi anaenda kupinduliwa.na hakuna Ayatollah tena atarudi
Hao wanawakilisha wenzaoMbona hawafiki 72
Kumbe na wewe ni kobaz.... sio bure akili yako ni hovyo hata kwenye siasa za nyumbaniLabda baada ya kumaliza kazi ya kukifuta kakijiji ka Israel
Kumbe na wewe ni kobaz.... sio bure akili yako ni hovyo hata kwenye siasa za nyumbani
Mama yangu si wewe ... kobaz mwenye akili fupi wewe.
Kwahyo ulitaka wakurupuke .Hakika
Kabisa
Alafu na back up wake wanafiki akina china na Urusi
Nam
Huyu wa nchi ya kusadikika vipi
SawaLabda kuhofia uchumi na vikwazo lukuki.
DoneAyatollah Khamenei
Israel wao katika shughuli zao uwa wanadili na viongozi
Hezbollah walipukutika
Hamasi wakapukutika
Sasa Iran ile crew yote ya juu imesafishwa
Target yaweza kuwa khamenei
Nina uhakika
Hafiki week mbili mbele
Japo na Iran nao hawako kinyonge, isingekuwa Jordan na Marekani pale kati
Makombora mengi yangetua Tel Aviv japo yapo yaliyopenya
R.I.P Khamenei in advance
Britanicca
AsanteUnaandika upuuzi Israel yote inateketea na moto Israel TEL Aviv ni majivu
MmmLabda baada ya kumaliza kazi ya kukifuta kakijiji ka Israel
Msumi lini