Namuona Lissu kama Nabii/Mtume namimi kama mfuasi wake

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Hivyo ndivyo ninavyomuona Tundu Lissu kama nabii au mtume namimi najiona kama mfuasi wake. Yani kama wale wanafunzi 12 wa Yesu ndio Mimi na Lissu ndio Yesu.
 
Ni bora umeongea mapema tumekujua mana tukikuwahi utapona huo uchizi ulionao
 
Hivyo ndivyo ninavyomuona Tundu Lissu kama nabii au mtume namimi najiona kama mfuasi wake. Yani kama wale wanafunzi 12 wa Yesu ndio Mimi na Lissu ndio Yesu.
Kweli ni mtume na nabii Lissu ndo maana kaanza kutoza sadaka kama mtume bulldozer.
 
Hivyo ndivyo ninavyomuona Tundu Lissu kama nabii au mtume namimi najiona kama mfuasi wake. Yani kama wale wanafunzi 12 wa Yesu ndio Mimi na Lissu ndio Yesu.
Left to tell. ..!
 
Hivyo ndivyo ninavyomuona Tundu Lissu kama nabii au mtume namimi najiona kama mfuasi wake. Yani kama wale wanafunzi 12 wa Yesu ndio Mimi na Lissu ndio Yesu.
New Mwamposa in town??
 
Back
Top Bottom