Msimu ujao akibaki mugalu basi uchawi upoMgalu ndo tulipigwa kabisaaaaaaaa
Umesahau sisi tukileta mchezaji hata kabla hajacheza tayari mmeshahukumu kuwa ni garasa Mtani?
Hivyo huwa mnawapimaje eti?
Dooh!![emoji16][emoji16][emoji16]nyie tunawajua wachezaji wenu wa Bei cheeeee
Unajua yikpe huko alipo ana bao ngapi yeye na molinga na hakuna hata mchezaji mmoja wa yanga aliezifikia
Ndo uchawi wenyewe huu.
Yikpe mweee Yikpe mweee mweee
Simba tumepigwa hapo mchana kweupe.
Yule ni Yikpe aliyechangamka!
Mgalu ndo tulipigwa kabisaaaaaaaa
Mie naona ana kitu, dk chache nilizomuona nimehisi ana kitu ni suala la muda tu..
Nimecheki profile lake, takwimu zake zinaridhisha, labda yawe ya sanchez kutoka arsenal kwenda man u.
Hivi kuna sttiker wa Afrika Magharibi aliyewahi kutamba kwenye hii ligi yetu?! Huwa naona kama hatuna bahati nao.
Hata kwa Bwalya mlisema hivyo hivyo. Yanga roho mbaya zenu hazitawasaidia mtabaki kuwa walalamishi tu siku zote.
Amesajiriwa kwa miezi sita tu.
Kama hataongeza kiwango chake basi mkataba wake utaishia hapo.
Mimi nilivyomwona sikumtofautisha na Yikpe.
Japo naelekea kukuelewa ila muda aliotumia unanisuta
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Kama hujui soka dk 5 zinatosha kukujua.Hivi utamjuaje mchezaji kwa dk 20 anyway ngoja tuone
Siyo hatuna bahati nao, huwezi kupata striker mzuri toka Afrika Magharibi, aje acheze Simba/Yanga aache ASEC, All ahal, Cotton Sport, Mamelod nk. Huku yanakuja Magarasa.Hivi kuna sttiker wa Afrika Magharibi aliyewahi kutamba kwenye hii ligi yetu?! Huwa naona kama hatuna bahati nao.
Kwa mikimbio ile hapana.Sasa mtu kacheza mexhi moja KWELI.unamuhukumu vipi
Ni muda wa kumwangalia kiwango chake.Mchezaji kwa ajili ya Klabu bingwa unampaje mkataba wa miezi sita?