fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Hapana,sio sawa,hajapata muda wa kucheza,usimhukumu vibayaNi mtazamo tuu, wala msijenge chuki. Kuna dalili zote Lokosa Junior akawa kama Yikpe tu. Japo hajapata muda wa kutosha, ila kwa touch zake mbili tatu nikiwa kama mdau wa soka naona kabisa Simba wamepigwa mchana kweupe. Ni suala la muda tuu... Lokosa hatoshi Simba ni heri Kagere kuliko huyo Lokosa.
Mapovu ruksa!!