Namuona Lokosa kama pacha wa Yikpe

Namuona Lokosa kama pacha wa Yikpe

Ni mtazamo tuu, wala msijenge chuki. Kuna dalili zote Lokosa Junior akawa kama Yikpe tu. Japo hajapata muda wa kutosha, ila kwa touch zake mbili tatu nikiwa kama mdau wa soka naona kabisa Simba wamepigwa mchana kweupe. Ni suala la muda tuu... Lokosa hatoshi Simba ni heri Kagere kuliko huyo Lokosa.

Mapovu ruksa!!
Hapana,sio sawa,hajapata muda wa kucheza,usimhukumu vibaya
 
Ni mtazamo tuu, wala msijenge chuki. Kuna dalili zote Lokosa Junior akawa kama Yikpe tu. Japo hajapata muda wa kutosha, ila kwa touch zake mbili tatu nikiwa kama mdau wa soka naona kabisa Simba wamepigwa mchana kweupe. Ni suala la muda tuu... Lokosa hatoshi Simba ni heri Kagere kuliko huyo Lokosa.

Mapovu ruksa!!
Japo naelekea kukuelewa ila muda aliotumia unanisuta

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
wabongo wanataka striker awe kama Morrison na Miqsonne,sijui atakuwa anakimbia kuelekea wapi
 
Simba hawajapigwa Kama utopolo walivyopigwa kwa Yikpe ,lokasa alikataa majaribio kama Yikpe Simba akamsajili kwa miezi 6 tena mechi za kimataifa tu ,hiyo miezi 6 ni kumchunguza tu ,angepewa miaka miwili hapo ndo Simba wamepigwa
Mkuu kupigwa ni kupigwa tu ata kama ni mkataba wa masaa matatu,[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ni mtazamo tuu, wala msijenge chuki. Kuna dalili zote Lokosa Junior akawa kama Yikpe tu. Japo hajapata muda wa kutosha, ila kwa touch zake mbili tatu nikiwa kama mdau wa soka naona kabisa Simba wamepigwa mchana kweupe. Ni suala la muda tuu... Lokosa hatoshi Simba ni heri Kagere kuliko huyo Lokosa.

Mapovu ruksa!!
Unajua yikpe huko alipo ana bao ngapi yeye na molinga na hakuna hata mchezaji mmoja wa yanga aliezifikia
 
Mliopigwa nyinyi mnaoendelea kusajili magarasa kina sarmpong mpaka mnampa nafasi ya mwisho na mmemsajili miaka miwili
 
Back
Top Bottom