Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Toa hoja achakuja na maneno ya kimaskini na uswahili hapaviroba vilishakatazwa, au mpo mpakani na zambia
Nabii wake bro TB Joshua alitabiri kuwa mzee wa mvi ni rais wa 5 Tanzania 😀Hapo vip!!
Binafsi nikiangalia huko na kule ndani ya CCM sioni kiongozi mwenye sifa ya kumzidi Lowassa mpaka sasa.
Ni wazi watanzania bado tuna kiu na Lowassa atawale nchi hii.
Wengine watasema mara ooh,ni mzee,kama hoja yao ina ukweli mbona marekani ambayo ni taifa lililoendelea Dunia na linawasomi na watu wenye IQ kubwa Dunia limewachagua wazee wakubwa kuliko hata Lowassa wakatawala taifa hilo..mfano Donald Trump na Joen Bieden ni wazee kuliko hata Lowassa...
#Tunamuhitaji Lowassa#
Nina uhakika yey mwenyew ukimuuliza apewe afya kiwango cha ile afya yake ya 2015 au urais wa jamhur ya muungano wa Tanzania bila shaka atachagua afyaHapo vip!!
Binafsi nikiangalia huko na kule ndani ya CCM sioni kiongozi mwenye sifa ya kumzidi Lowassa mpaka sasa.
Ni wazi watanzania bado tuna kiu na Lowassa atawale nchi hii.
Wengine watasema mara ooh,ni mzee,kama hoja yao ina ukweli mbona marekani ambayo ni taifa lililoendelea Dunia na linawasomi na watu wenye IQ kubwa Dunia limewachagua wazee wakubwa kuliko hata Lowassa wakatawala taifa hilo..mfano Donald Trump na Joen Bieden ni wazee kuliko hata Lowassa...
#Tunamuhitaji Lowassa#
Kamponye basiHapo vip!!

Toa hoja achakuja na maneno ya kimaskini na uswahili hapa
Cha Arusha bila shakaHapo vip!!
Binafsi nikiangalia huko na kule ndani ya CCM sioni kiongozi mwenye sifa ya kumzidi Lowassa mpaka sasa.
Ni wazi watanzania bado tuna kiu na Lowassa atawale nchi hii. Wengine watasema mara ooh ni mzee. Kama hoja yao ina ukweli mbona Marekani ambayo ni taifa lililoendelea duniani na linawasomi na watu wenye IQ kubwa duniani limewachagua wazee wakubwa kuliko hata Lowassa wakatawala taifa hilo?
Mfano Donald Trump na Joe Biden ni wazee kuliko hata Lowassa.
#Tunamuhitaji Lowassa#
Hahahaahahahahahahahahahahahhaha........Hapo vip!!
Binafsi nikiangalia huko na kule ndani ya CCM sioni kiongozi mwenye sifa ya kumzidi Lowassa mpaka sasa.
Ni wazi watanzania bado tuna kiu na Lowassa atawale nchi hii. Wengine watasema mara ooh ni mzee. Kama hoja yao ina ukweli mbona Marekani ambayo ni taifa lililoendelea duniani na linawasomi na watu wenye IQ kubwa duniani limewachagua wazee wakubwa kuliko hata Lowassa wakatawala taifa hilo?
Mfano Donald Trump na Joe Biden ni wazee kuliko hata Lowassa.
#Tunamuhitaji Lowassa#
🤣viroba vilishakatazwa, au mpo mpakani na zambia