Namuona Lowassa akija kuwa Rais wa 7 wa Tanzania

Namuona Lowassa akija kuwa Rais wa 7 wa Tanzania

Hapo vip!!
Binafsi nikiangalia huko na kule ndani ya CCM sioni kiongozi mwenye sifa ya kumzidi Lowassa mpaka sasa.

Ni wazi watanzania bado tuna kiu na Lowassa atawale nchi hii. Wengine watasema mara ooh ni mzee. Kama hoja yao ina ukweli mbona Marekani ambayo ni taifa lililoendelea duniani na linawasomi na watu wenye IQ kubwa duniani limewachagua wazee wakubwa kuliko hata Lowassa wakatawala taifa hilo?

Mfano Donald Trump na Joe Biden ni wazee kuliko hata Lowassa.

#Tunamuhitaji Lowassa#

Lowasa afya ya mwili kwa sasa inamsumbua hayuko tena sawa tumwache apumzike
 
Tunawaza mzigo wa tozo maana ni janga la kitaifa kwa sasa siasa tuweke pembeni kwa sasa.
 
Back
Top Bottom