OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Endapo simba itatinga robo fainali CAFCL ni kete muhimu kwa simba kumnasa mchezaji huyo. Huko pyramid wamechezea za uso wameyaaga mashindano kwa aibu pia kule kwao walifungwa na mamelod mpira ulivyoisha zikaanza ngumi uwanjani.
Kibarua cha kocha kipo mashakani pia mayele nae kibarua chake kinakaribiakuota nyasi. kivyovyote vile kimbilio la kwanza la mayele ni TANZANIA maana huku ndiko mahali ambapo panamemory nzuri kwake pia ana mashabiki wengi, bahati mbaya pale yanga alishanyea kambi ko hawezi kanyaga hapo.
Option namba moja ni SIMBA SC maana hii timu ataona inamfaa maana atakua anaonekana hadi huko CAFCL ili awaprove wrong waarabu. kocha benchkha na mayele wanafahamiana vizuri sana maana mayele aliwahi kutaka kuivua ngua USMA ALGERS kwa kutupia goli dakika ya 81 pale kwa mkapa kwa shuti la kugeuka kutoka nyuma kama mnakumbuka, pia kwenye tuzo za CAF walipokea wote ko lazima walikutana na kupiga story kabisa hivyo basi wanajuana tangu kitambo, ni suala la muda tu.
NAWASILISHA.