Namuona mayele ndani ya Simba

Mr mutuu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2023
Posts
2,869
Reaction score
14,501
Kiukweli MAYELE ni kama hajafikia matarajio ya Pyramids. Walipomsajili walikua na mategemeo makubwa sana kwake lakini ameishia kumbwela bwela tu, na ukizingatia washatoka kwenye makundi CAF CL naona wakitafuta striker mpya msimu ujao au unaofata wakiachana na Mayele

Na kwa jinsi wakongoman wanavyopenda Bata la bongo namuona akirudi bongo, kwa Yanga ashanyea Kambi Kule sidhani kama anaweza rejea na kwa timu hizi za kkoo zinavyopenda kukomoana naona Simba wakinasa Saini ya Mayele ili kuwatuliza mashabiki baada ya ujinga wa mafanikio sijui ya kibegi, Whatsapp channel na kupanda mlima kufeli

Simba ili kuwapooza mashabiki naona watamchukua na feitoto, maana mashabiki Wana hasira umbumbumbu unawatoka sa ivi sio kipindi Cha nyuma hapo eti Ahmed ally akisema timu za ufaransa zinamgombania onana wanachekelea tu
 
Yaani umegusa hisia zangu kabisa. Kipindi kile Mayele amezua taharuki za kutumiwa majini na Yanga, binafsi nilihisi Mayele anatafuta kiki ya kijinga ili Simba wamfikirie. Utabiri ni kuwa, kuna uwezekano Mayele akasajiliwa Simba.
 
Hata mimi niliwaza hivi hivi.

Shida hapa ni mshiko, mchezaji hahami tu hivi hivi kama vile unamuacha demu huyu na kuchukua mwengine.

Simba watatakiwa wanunue mkataba wake pale Pyramid. Labda itokee Pyramid wakubali tu hasara kama walivyomtoa Al Ahly Kwa Louis Josee Miquossoine.
 
Kwani hicho kimeo mayele ni mtanzania Hadi arudi bongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…