Kwani anakosa kigezo kipi cha kugombea urais ambacho ssh anacho ?Angechukua form ya ubunge tu. Wana kisesa wangempa
Vigezo sio vya wagombea shid ipo kwa watanganyika wajingawajinga.Kwani anakosa kigezo kipi cha kugombea urais ambacho ssh anacho ?
We anza binafsi kuwa una mpa kura MPINA ,Baada ya hapo jirani zako...Mabadiliko yatakuja yenyewe huyu MPINA ni kama CHAKWERA wa MALAWIYes, kama kungekua na reforms na ACT isingekua Tawi la CCM vile vile kusingekua na mtu anaitwa LISSU! vinginevyo aende kuchunga ngo'mbe na mbuzi Tu anajipotezea mda.
Hata akishinda, Zito hawezi ruhusu hilo litokeeKwa mwenendo wa uchaguzi wa mwaka huu mwaka huu namuona MPINA anashinda URAIS octoba 29,2025 nawaona wana CCM wengi watakwenda kumpa KURA MPINA kuwa RAIS ,
Nb:CCM yangu ina nafasi ya kujirekibisha ,vinginevyo Kiti cha Urais kinaweza kwenda upinzani kwa mara ya kwanza SITE wananchi wana malalamiko mengi,tunachopaswa kujua kundi la kina RA alipigi kura ,MREMA alitokosa kosa,Dr Slaa alitukosa kosa,Lowasa alitokosa kosa ,,,,sizani kama MPINA atafanya kosa ilo tena ...
JanaLini URAIS ulikuwa MGUMU