GE2025 Namuona Mpina anaenda kushinda kiti cha Urais Oktoba 29

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Naona angebaki kwanza kwenye nafasi ya ubunge, angetetea nafasi yake
 
Maalim Seif alishinda 2015 Zanzibar , Jeshi likapelekwa. Nashangaa ACT wanagombea kwenye mazingira Yale Yale ya 2015
hayo yote yatumike kama rejea kuelekea ushindi wa mabadiliko
 
We anza binafsi kuwa una mpa kura MPINA ,Baada ya hapo jirani zako...Mabadiliko yatakuja yenyewe huyu MPINA ni kama CHAKWERA wa MALAWI
Siwezi MPA mpina Kura yangu Sababu ni mchumia tumbo,
Na mpina kuwa raisi kupitia ACT ni ndoto za mchana!
 
kwa tume ipi?
Hii hii ya KAILIMA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…