Namuona Mume wa Shilole ni Mshamba

Sijui ni Mimi tu namuona hivo au na wengine wanamuona hivo lakini ukweli ndio huo. Ni mshamba hata kwenye arusi yao alithibitisha ushamba wake
Haya ni majungu Na umbea. Wanaume tunajadili issues sio mambo ya watu. Awe mshamba awe mjanja hautofaidika kamwe Na huyo jamaa. Jenga maisha yako achana Na kufuatilia WANAUME wa watu
 
It takes a time for real man to make women satisfied. Huwezi kujua Shilole kampendea nini Mr Uchebe na ukizingatia kwamba wanaume tumekuwa adimu sana karne hii. Tuwatakie maisha mema na ndoa yenye furaha.
 
Sijui ni Mimi tu namuona hivo au na wengine wanamuona hivo lakini ukweli ndio huo. Ni mshamba hata kwenye arusi yao alithibitisha ushamba wake
Acha wivu@kila mtu kuna namna alivyoumbwa,,hata wewe unajiona mjanja wa town kumbe mshamba tu....sio kila unalolitaka wewe MTU atafanya...nyie wanaume wa dar mna mambo etiii mshamba we acha wivu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…