Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapost ungeseKiukweli mapenzi ni upofu , kila nikikaa nikimuangalia huyo uchebe sioni chochote alichonacho pesa hana sura hana hajui kuvaa , hajachangamka yani yupo yupo tu kama sanamu la michelini.
Shilole tangu nithibitishe anamtanulia miguu huyu muuza oil chafu na fundi gereji nimemuona ni mtu wa hovyo sana hata ile sapoti niliyokuwa nampa nimeisitisha na mawasiliano yake pia nimekata .
Kwanza hata picha zao za harusi sikuziposti na sikuhudhuria pia maana ni kituko kama sio kioja cha karne[emoji57] [emoji57]
Kwanza wamekutana Shishi mchafu na huyo uchebe naye mchafu
[emoji23][emoji23][emoji23]hata mi natamani niuone huo ushambaWekeni video nasi tuone ushamba wa bwana harusi