Namuona Mume wa Shilole ni Mshamba

Namuona Mume wa Shilole ni Mshamba

Haya ni majungu Na umbea. Wanaume tunajadili issues sio mambo ya watu. Awe mshamba awe mjanja hautofaidika kamwe Na huyo jamaa. Jenga maisha yako achana Na kufuatilia WANAUME wa watu
Sawa kabisa, washaanza majungu yao, waacheni wale maisha, tunawaona mnavyotaka kuwaharibia ndoa zao..
 
Muhimu kama ana mfikisha kunako hilo ndio neno, wewe muone shamba mwenzako kitandani ni mtoto wa mjini.
 
Kiukweli mapenzi ni upofu , kila nikikaa nikimuangalia huyo uchebe sioni chochote alichonacho pesa hana sura hana hajui kuvaa , hajachangamka yani yupo yupo tu kama sanamu la michelini.

Shilole tangu nithibitishe anamtanulia miguu huyu muuza oil chafu na fundi gereji nimemuona ni mtu wa hovyo sana hata ile sapoti niliyokuwa nampa nimeisitisha na mawasiliano yake pia nimekata .

Kwanza hata picha zao za harusi sikuziposti na sikuhudhuria pia maana ni kituko kama sio kioja cha karne[emoji57] [emoji57]

Kwanza wamekutana Shishi mchafu na huyo uchebe naye mchafu
 
Kumbe wivu unakusumbua, jitathmini kk, pengine ulikua humridhishi, jamaa snapiga machine mpaka shishi bebi amepagawa
 
Kiukweli mapenzi ni upofu , kila nikikaa nikimuangalia huyo uchebe sioni chochote alichonacho pesa hana sura hana hajui kuvaa , hajachangamka yani yupo yupo tu kama sanamu la michelini.

Shilole tangu nithibitishe anamtanulia miguu huyu muuza oil chafu na fundi gereji nimemuona ni mtu wa hovyo sana hata ile sapoti niliyokuwa nampa nimeisitisha na mawasiliano yake pia nimekata .
Hebu sikiliza wimbo Wa msaga simu, "mwanaume mashini" kisha rudi hapa!!!
 
Labda dogo anamiguu mitatu maana dada zetu sikuizi wanaangalia ukubwa wa kitungisha mimba
 
Back
Top Bottom