Merciana
Senior Member
- Sep 6, 2017
- 103
- 326
Na talaka atapewa...[emoji23]Hahha hapo hata kiburi cha kuchepuka hana....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na talaka atapewa...[emoji23]Hahha hapo hata kiburi cha kuchepuka hana....
Unaijua acha kufurahisha gengeHahahahaha...chumvi gani mkuu
Vyote wewe unaonaje bangi za bibie[emoji13] [emoji13] [emoji13] chumvi ipi ww au uvinzani au kanazibua sana mitaro kwa mdomo [emoji104] [emoji104]
hahaha hivi kapotelea wapi huyu mama lolzHahahaaa. Dada umenifanya nimkumbuke Bi FaizaFoxy ujue.
Maana mwenyewe huwa ana usemi wake "huko shule mlienda kusomea ujinga". Hahaaaa.
Hata sijui dada. Huenda ikawa majukumu yameongezeka.hahaha hivi kapotelea wapi huyu mama lolz
Fafanua kidogoSijui ni Mimi tu namuona hivo au na wengine wanamuona hivo lakini ukweli ndio huo. Ni mshamba hata kwenye arusi yao alithibitisha ushamba wake
Kwel sijajua badoUnaijua acha kufurahisha genge
Mshamba??? Mbona katongoza na akakubaliwa???
Chezea visura wa JF wewe bila mpunga watu hawakupi unachohitaji wanaignore tuMmmmh....m.pesa tena haya mkuu