Namuona Mume wa Shilole ni Mshamba

Namuona Mume wa Shilole ni Mshamba

Kiukweli mapenzi ni upofu , kila nikikaa nikimuangalia huyo uchebe sioni chochote alichonacho pesa hana sura hana hajui kuvaa , hajachangamka yani yupo yupo tu kama sanamu la michelini.

Shilole tangu nithibitishe anamtanulia miguu huyu muuza oil chafu na fundi gereji nimemuona ni mtu wa hovyo sana hata ile sapoti niliyokuwa nampa nimeisitisha na mawasiliano yake pia nimekata .


Kwanza hata picha zao za harusi sikuziposti na sikuhudhuria pia maana ni kituko kama sio kioja cha karne[emoji57] [emoji57]



Kwanza wamekutana Shishi mchafu na huyo uchebe naye mchafu
Unapost ungese
 
Acha ubeche aungurumishe mzigo, akichokwa anatafutwa mwingine
 
Mkuu nina mashaka wewe ni Homosexual nilikuwa nawaza juu juu haswa kwa post zako
 
Ungeweka picha na sisi tusiomjua huyu ucheche tumjue analafu tutadhmin unayo sema mkuu
 
Eti mshamba mweeeh, hebu tupia wako humu tumuone , kama hatakuwa gumegume ni bahati sanaaa
 
Back
Top Bottom