Sema hivi "wanaume halisi wanapungua kwa kasi"Kam alieleta huu uzi ni mwanaume,basi atakuwa anamatatizo ya kisaikolojia
Umbea Na majungu ni tabia. Hata Rorya Na Sirari wanaume wenye tabia hizi wapoUsishangae mkuu,huyu ni moja ya wanaume wa dar
Wasukuma woote ni washamba.mf.jpm,bashite,masha etc etc.we tafuta tuu msukuma mmoja mfuatilie.ndo utajua washamba wakoje.au google uonekwanza hivi mshamba hua anakuwaje? mm cjawahi kumuona mshamba hebu elezeni sifa za mshamba kwanza hata mnapojadili mjue ni wapi huyu jamaa mshamba
Shilole ni Icon ya TABORA katika burudaniMnapata wapi mda wa kufuatilia kina Shilole sijui ndio kina nani hawa
hahaaaa mkuu mbona basi hata ww ni mshamba tena wa kutupwa km umekubali washamba wakuongoze ww utakua c ndo mshamba wa mwishoWasukuma woote ni washamba.mf.jpm,bashite,masha etc etc.we tafuta tuu msukuma mmoja mfuatilie.ndo utajua washamba wakoje.au google uone
Nilitembelea pale kijijini kina Shilole kwao Igunga mwaka Jana, kila ninaemwambia Natoka Dar lazima aniulize km namjua Shilole na Kwamba anatoka pale kijijiniShilole ni Icon ya TABORA katika burudani
Real Man tupo wachache sana,It take a time for real man to make women satisfied. Huwezi kujua Shilole kampendea nini Mr Uchebe na ukizingatia kwamba wanaume tumekuwa adimu sana karne hii. Tuwatakie maisha mema na ndoa yenye furaha.
Real Man tupo wachache sana,
sasa hv wanawake wanaolewa mpaka na vichaa
noma nomile.
Alikuwa anaona aibu na woga si mshambaSijui ni Mimi tu namuona hivo au na wengine wanamuona hivo lakini ukweli ndio huo. Ni mshamba hata kwenye arusi yao alithibitisha ushamba wake
LIVE: Sherehe ya Ndoa ya Shilole Usiku Huu (Pichaz na Video) - Global PublishersTuwekeeni picha za harusi na sisi tuliokosa kadi tuzione.
Asante mkuu nimewaona Ashraf na Zuwena wamependeza sana.
Hahaaaa. Unataka na weye uone ushamba wa Uchebe lol.Wekeni video nasi tuone ushamba wa bwana harusi