Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
..[emoji617] |ππΌππ πππ
Katika vitu vigumu ambavyo Kocha wa Yanga Miguel Gamondi (56) [emoji1033] atakutana navyo ni pamoja na kuamua nani amuweke bechi nani aanze kikosi cha kwanza .
Kutokana na ushindani unaoendelea huko Avic Town. Kiwanja cha mazoezi kimempa wakati mgumu kocha Miguel Gamondi ..
πππ ππ₯π π¬π€π©π π£π π’π€π©π€
[emoji820] Djigui Diarra (28) [emoji1159]
[emoji820] Metacha Mnata (26) [emoji1241]
[emoji820] Abdutwalib Mshery (24) [emoji1241]
Vita inaanzia golini . nani apewe nafasi ya kuanza first eleven [emoji91]
Diarra ana nafasi kubwa ya kuanza kikosi cha kwanza kutokana na aina yake ya uchezaji anaweza kutumika kama "Sweeper keeper" .. Pia kocha ana kazi ya kuchagua nani ashike nafasj ya pili kati ya Mshery na Metacha [emoji848]
πππππ π π¬π π₯ππ’πππ£π (right-back)
[emoji820]Yao Attoulla (26) [emoji1081]
[emoji820] Kibwana Shomari (22) [emoji1241]
Hii vita ya Kibwana na Yao ni ngumu sana . apo ni speed na ufundi ndio kitu alicho zidiwa kibwana ila wote ni Wing-Back wa mpira ..Mahitaji ya mwalimu ndio yatakayo amua nani aanze hasa kama wanakwenda kushambulia basi Yao anaanza [emoji123]
πππππ π π¬π π₯ππ’πππ£π (Left-Back)
[emoji820] Joyce Lomalisa (30) [emoji1078]
[emoji820] Nicksone Kibabage (22) [emoji1241]
Yes "" Hapa tutashuhudia Vita ya kiaina yake ..Kibabage na waziri wa maji [emoji91] ..
Kibabage ni Namba 3 ya kisasa ambaye anaweza kutumika kama Winga .na akakupa kwa %100 ulicho muagiza .. Pale Singida FG FC mwalimu Hans alikuwa akimtumia kama winga Kwenye michezo ya mwisho wa msimu na alifunga magoli mazuri yenye ubunifu na utulivu mkubwa
Lomalisa [emoji91][emoji119]wote wana kasi kubwa ya kukaba na kushambulia
πππππ π π¬π π ππ©π (Center-Back)
[emoji820] Bakari Mwamnyeto [emoji2398] (24) [emoji1241]
[emoji820] Gift Fred (24) [emoji1254]
[emoji820] Dickson Job (22)
[emoji820] Dickson Job (22) [emoji1241]
[emoji820] Ibrahim Bacca (23) [emoji1241]
Namuonea sana huruma Kocha Miguel Gamondi. Ni jinsi gani unaweza kuwatofautisha Mabeki hawa wote wanne (4) . Gift Fred ndio mgeni katika hao watatu apo lakini uhitaji wake nafasi umepanua na kuongeza ubora wa wengine ..
"Bacca amekuwa na wakati mzuri sana tangu aniunge na Yanga na kuchukua nafasi kwenye baadhi ya michezo muchezo muhimu yote ambayo Yanga wamecheza mwishoni mwa msimu uliopita .Pia ameingia moja kwa moja kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania [emoji1241] . β¦
" Job [emoji1655] ni moja ya mabeki wa kisasa aliyepikika ndani ya nchi yetu . Mimi naendelea kuonyesha huruma yangu kwa kocha Miguel Gamondi
πππͺπ£ππ€ π¬π π πππππ (Center Midfielders)
[emoji820] Jonas Mkude (30) [emoji1241]
[emoji820] Zawadi Mauya (28) [emoji1241]
[emoji820] Khalid Aucho (29) [emoji1254]
[emoji820] Mudathir Yahya (27) [emoji1241]
Vita ni kubwa eneo la Namba 6 ambalo lina viungo wa kazi .. Mkude atachukua nafasi yake hapo kati kati ya dimba binafsi namuona Aucho akitumika kama namba 8 (kiungo mchezeshaji)
"Box to box Midfielder Mudathir Yahya ni mtu wa kazi .. Hapo kati ni patamu sana [emoji39]
πππͺπ£ππ€ π¬ππ¨πππ’ππͺπ‘ππππ (Midfielders )
[emoji820] Salum Abubakar (30) [emoji1241]
[emoji820] Pacome Zouzoua (26) [emoji1081]
[emoji820] Farid Mussa (28) [emoji1241]
[emoji820] Stephane KIAziz (27) [emoji1059]
Ivi huu mziki utachezeka kweli ?.[emoji848]
πππ¬ππ£ππ π¬π π πͺπ‘ππ (Right-Wings)
[emoji820] Jesus Moloko (25) [emoji1078]
[emoji820] Maxi Nzengeli (24) [emoji1078]
Kitaalamu zaidi Kocha Miguel Gamondi amekuwa akimtumia Maxi kama Kiungo Mshambuliaji na winga jamaa amefiti kote ."Kilaka "[emoji119]
πππ¬ππ£ππ π¬π π πͺπ¨ππ€π©π€ (Left-Wings)
[emoji820] Mahlatsi Makudubela (33) [emoji1221]
[emoji820] Denis Nkane (19) [emoji1241]
Huku "Skudu" ametawala kwa %78 katika michezo yote ambayo Yanga wamecheza kwenye Pre Season⦠Kocha inamlazimu amtumie Nkane upande wa kulia
πππ¨πππ’ππͺπ‘ππππ π¬π π’π¬ππ¨ππ€ (Center -Striker)
[emoji820] Crispin Ngushi (23) [emoji1241]
[emoji820] Kennedy Musonda (29) [emoji1268]
[emoji820] Hafiz Konkoni (23) [emoji1110]
[emoji820] Clement Mzize (19) [emoji1241]
" Crispin Ngushi amezaliwa upya ameuwasha sana moto kwenye uwanja wa mazoezi Pengine wananchi wasishangae kumuona kwenye kikosi cha kwanza kutokana na ubora aliounyesha mbele ya kocha Miguel Gamondi
"Kennedy Musonda ameanza alipoishia msimu uliopita ..Alimaliza msimu kwa kufunga goli mbele ya Azam FC na ameanza kwa kuifunga Kaizer Chiefs kwenye tamasha la wiki ya mwananchi .. Namuona akianza kama chaguo la kwanza la kocha
" Clement Mzize kwa sasa ameanza kupata moto wa kuitaka nafasi kwenye kikosi cha kwanza licha kuwa chaguo namba nne (4)amekuwa wamoto sana huko Avic Town
" Hafiz Konkoni anahitaji kupewa mud wa kujipanga na msimu mpya kwani alichelewa kuwasili nchini . Na aliwakuta wenzake wapo kambini kwa wiki moja (1)
Kocha ataamua anahitaji aina gani ya kikosi ili wachezaji wapambanie nafasi [emoji119]