Namuonea huruma sana kocha wa Yanga

Namuonea huruma sana kocha wa Yanga

Kiufupi yanga wamekamilika 100%, na bahati nzuri kocha Nabi alitengeneza timu na sio wachezaji, team work iliyotengenezwa na kocha Nabi ndiyo itakayofanya waendeleze walipoishia msimu uliopita, Nabi alitengeneza team isiyomtegemea mchezaji mmoja, Mchezaji yeyote aliyekuwa anakabidhiwa jezi alikuwa anafanya makubwa, ndicho kinachoenda kutokea kwa mara nyingine, Kutokuwepo kwa mayele ni fursa kwa wengine kuonyesha kwamba No mayele No problem! Team work yao na spirit waliyonayo vijana wa jangwani ata kama mchezaji ni mgeni uwa anaingiziwa spirit ya hali ya juu anayoikuta ndani ya wenzake pamoja na viongozi, Leo hii mtashangaa sana kumuona mkude akicheza mpira mkubwa tofauti na alikokuwa but iyo sio kwamba anakamia hapana ni tabia ya kucheza jihad aliyoikuta kwa wenzake inamfanya na yeye apambane vinginevyo anaachwa na wakati!
Timu ilimtegemea mayele na sasa hayupo. Yanga ya mwaka huu ni Mashujaa iliyochangamka . Hakika itatuuaaaaa!!!!!
 
Back
Top Bottom