Namuulizia Allen Kilevela wa CHADEMA hajasikika muda mrefu

Namuulizia Allen Kilevela wa CHADEMA hajasikika muda mrefu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Niko safarini kuelekea Iringa mjini kuangalia mazingira ya kisiasa waliyonayo wanyalu kwa sasa.

Mkuu Allen Kilevela sijakusikia muda mrefu bwashee..... Nitakuwepo hapo Miyomboni kwa siku mbili.

Tunajaribu kupima nguvu ya Jesca na namna ya kumsaidia ili tuung'oe huo muarobaini, 10 Yatosha kwa Msigwa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Jesca mikono yake si safi
Kuna familia zinalia hawajawahi kupata haki ya kupoteza wapendwa wao
Wakati utafika atasimama kwa pilato na yeye
Yule mama Jesca ulimfanya nini?
 
Jesca mikono yake si safi
Kuna familia zinalia hawajawahi kupata haki ya kupoteza wapendwa wao
Wakati utafika atasimama kwa pilato na yeye
Yule mama Jesca ulimfanya nini?
Alifanya nini?
 
Back
Top Bottom