johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Bwashee 10 Yatosha kwa mchungaji MsigwaNatanguliza pole za dhati kwa huyo Jesca.
Alifanya nini?Jesca mikono yake si safi
Kuna familia zinalia hawajawahi kupata haki ya kupoteza wapendwa wao
Wakati utafika atasimama kwa pilato na yeye
Yule mama Jesca ulimfanya nini?
Kula posho za Lumumba ila Msigwa hatoki hapo Iringa.Bwashee 10 Yatosha kwa mchungaji Msigwa