Te Lavista JF-Expert Member Joined Mar 12, 2017 Posts 1,626 Reaction score 2,846 Jan 3, 2018 #1 Wakuu It has been a long time sijamuona huyu mpiga debe wa daladala za Mbaga maji matitu via Vingjnguti kidarajani.. Nimemiss maneno yake ya shombo na kujitapa kwake.. Hata kwa hii ID ya ESCORT 1 simuoni. Yeye humu alipenda kutumia kamsemo ka Very talented and Charismatic mpiga debe" Anajiita GENTAMYCINE
Wakuu It has been a long time sijamuona huyu mpiga debe wa daladala za Mbaga maji matitu via Vingjnguti kidarajani.. Nimemiss maneno yake ya shombo na kujitapa kwake.. Hata kwa hii ID ya ESCORT 1 simuoni. Yeye humu alipenda kutumia kamsemo ka Very talented and Charismatic mpiga debe" Anajiita GENTAMYCINE
Aaron Arsenal JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 24,501 Reaction score 28,711 Jan 3, 2018 #2 Kachukuliwa ukute na Watu wasiojulikana
Te Lavista JF-Expert Member Joined Mar 12, 2017 Posts 1,626 Reaction score 2,846 Jan 3, 2018 Thread starter #3 GENTAMYCINE
Betterhalf JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 2,882 Reaction score 2,560 Jan 4, 2018 #4 Khaaa...mkuu
Antennah JF-Expert Member Joined Oct 14, 2015 Posts 6,754 Reaction score 8,750 Jan 4, 2018 #5 hahahahahaaa duuuuhb aiseee
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Jan 7, 2018 #6 Te Lavista said: GENTAMYCINE Click to expand... Mimi nilidhani kale katabia ka kuwashwawashwa kaliondoka na mwaka 2017 kumbe bado kapo hadi mwaka huu mbichi kabisa wa 2018?
Te Lavista said: GENTAMYCINE Click to expand... Mimi nilidhani kale katabia ka kuwashwawashwa kaliondoka na mwaka 2017 kumbe bado kapo hadi mwaka huu mbichi kabisa wa 2018?
Te Lavista JF-Expert Member Joined Mar 12, 2017 Posts 1,626 Reaction score 2,846 Jan 7, 2018 Thread starter #7 GENTAMYCINE said: Mimi nilidhani kale katabia ka kuwashwawashwa kaliondoka na mwaka 2017 kumbe bado kapo hadi mwaka huu mbichi kabisa wa 2018? Click to expand... Bado ninako kaka..
GENTAMYCINE said: Mimi nilidhani kale katabia ka kuwashwawashwa kaliondoka na mwaka 2017 kumbe bado kapo hadi mwaka huu mbichi kabisa wa 2018? Click to expand... Bado ninako kaka..