Namuulizia huyu mpiga debe wa Daladala za Mbagala maji matitu via Vingunguti..

Namuulizia huyu mpiga debe wa Daladala za Mbagala maji matitu via Vingunguti..

Te Lavista

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2017
Posts
1,626
Reaction score
2,846
Wakuu
It has been a long time sijamuona huyu mpiga debe wa daladala za Mbaga maji matitu via Vingjnguti kidarajani..

Nimemiss maneno yake ya shombo na kujitapa kwake..

Hata kwa hii ID ya ESCORT 1 simuoni.
Yeye humu alipenda kutumia kamsemo ka
Very talented and Charismatic mpiga debe"

Anajiita GENTAMYCINE
 
Back
Top Bottom