Namuulizia huyu mtangazaji wa ITV

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,496
Nadhani alikuwa anatangaza taarifa ya habari kati ya mwaka 2003-2004. Wakati huo Betty Mkwasa alikuwa anatangaza.

Sikumbuki jina kamili, ila nadhani jina la mwanzo lilianza na Irene.

Nakumbuka miaka hiyo tupo sekondari, huyu dada ndio alikuwa ananipa sababu za kuangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku.

Wadau wenye kumbukumbu nikumbusheni majina kamili na yupo wapi sasa hivi.

Nimemkumbuka tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa Mkuu Wa Wilaya Lakini Baadaye Muda Wake Ukaisha
Kwasasa Nadhani Ni Mwanaharakati
 
Bavaria,
Aliolewa akahamia Canada.

Kwa sasa amerudi mumewe ni mchungaji nadhani wanamtumikia Mungu mkoani Mbeya kwa sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…