Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Nadhani alikuwa anatangaza taarifa ya habari kati ya mwaka 2003-2004. Wakati huo Betty Mkwasa alikuwa anatangaza.
Sikumbuki jina kamili, ila nadhani jina la mwanzo lilianza na Irene.
Nakumbuka miaka hiyo tupo sekondari, huyu dada ndio alikuwa ananipa sababu za kuangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku.
Wadau wenye kumbukumbu nikumbusheni majina kamili na yupo wapi sasa hivi.
Nimemkumbuka tu.
Sent using Jamii Forums mobile app