Mkuu X-paster kama bado upo nakuomba ujitokeze hapa ile 'ishu'
tulijadili naona sasa ni muda muafaka wa kuifanyia kazi, ni muda
mrefu sasa sijakuona kabisa hapa JF mpaka ninapatwa na wasiwasi
kuwa uko hai kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.