Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Utatufanyaje???Not to that extent.... Wee jifanye una uhuru wa kutembea na mwanaume mwenzio mtaani umemshika kiuno halafu uone. Inamishwa huko gizani, siyo ulete ufirauni wako hadharani.
Kua sio Binaadam??Jamaa anatetaa mashoga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]
Utatufanyaje???
Au tukishikana viuno wewe unawashwa na nini??
Unaacha kupambana utoke kwenye wingu la umaskini unaweka chuki kwa watu wawili walioamua kupendana,
Ndio maana mnazeeka kabla ya umri wenu
Utatufanyaje???
Au tukishikana viuno wewe unawashwa na nini??
Unaacha kupambana utoke kwenye wingu la umaskini unaweka chuki kwa watu wawili walioamua kupendana,
Ndio maana mnazeeka kabla ya umri wenu
😆😆😆Mkuu hapo PSG kuna waislam na wanavaa hizo jezi vizuri tu,
Hapo majuzi, timu kubwa ufaransa ya PSG ilienda kucheza mechi huku wachezaji maarufu wa dini kuu mbili wakiwa wamevaa jezi za kuhamasisha na kuutetea ushoga na usagaji lakini kuna mchezaji moja Idrissa Gueye alikataa kuvaa hizo jezi akilalamika ni kinyume na anachoamini
Hili suala si la kidini tu, ni suala la utu.
Mabeberu haya yanajinadi ni nchi zenye uhuru ila kiukweli sijaona chochote kinachoruhusu mtu awe huru kwa anachoona kwake ni sahihi kukisimamia, mabeberu wanajipa uhuru kwenye mambo wanayoyaona ni sahihi kwao lakini wanawazuia wengine kuwa huru kwa wanachoona ni sawa na hakimdhuru yeyote wanapo kisimamia.
Mtu analipwa kucheza mpira ila wanaanza kumlazimisha awe balozi na mhamasishaji wa vitu ambayo vipo kinyume mno na dini yake na hata tamaduni zake.
Kama kuna mashoga na wasagaji, sawa tu waendelee na itikadi zao wao kimpango wao, lakini haya mambo ya kuanza kumlazimisha mtu kutetea mashoga si uungwana hata kidogo.
hii ishu ipo zaidi ya dini, kumbuka kuna wachezji waislamu wengi tu uingereza, ufaransa, spain, ujerumani, italy, n.k. wanavaa hizo jezi bila kupinga.Ndio maana huwa nashabikia sana timu za kiarabu/kiislamu zishinde. Hao wengine wakafie mbali huko
hii ishu ipo zaidi ya dini, kumbuka kuna wachezji waislamu wengi tu uingereza, ufaransa, spain, ujerumani, italy, n.k. wanavaa hizo jezi bila kupinga.
Pia hio timu mmiliki ni shehe
Kwa huyo muisilamu aliyekataa kuvaa jezi, vyote vinakatazwa sawakwa hyo unatetea ?
Ushoga na pombe sawa?
mmiliki wa timu ni muisilamu, halafu mchezaji mwajiriwa analeta donyoWanampa bure?
@Pwilo hapa utalaumu dini, JF member, Jf founder au JF members?Kufuru unaijua wewe,
Wafanye kwenye vyumba vyao kwa maana unawaza ushoga ni ngono tu,
Wewe na Mwanamke wako mbona mna haki ya kuoana, kuzaa, kuasili, kushikana mikono hadharani, mkienda hotelini hakuna anayewahoji wala kuwashangaa, hakuna anayewanyanyapaa kwa kua ni mke na mume, hampigwi, hamuuliwi kwa kua mke na mume mnapendana, hamteswi, hamtengwi na jamii,
Ushajua Mashoga wanapitia mangapi sababu tu wanapenda watu wa jinsia yao???

Uko sawa???@Pwilo hapa utalaumu dini, JF member, Jf founder au JF members?
Pole sana unateseka kwa raha za wengine huo ni uchawi,Unataka dunia iamini kuwa ni kawaida mwanaume kwa mwaume kujamiaana? Haiwezekani! Unazeekea wewe unaebanduliwa na wanaume wenzio. Kama hauna nguvu za kiume, kaa utulie. Kwani ni lazima ushiriki hata kama hauwezi?
Aondoke haraka,