Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Yani mpaka leo sijawahi kuona hiyo movie ambayo mwanaume anampiga denda mwanaume mwenzie.
So nadhani mtu akijifanya yuko bize sana na mamovie ya hao wapuuzi ndio atakumbana na hayo mambo.
Kama mnaangalia movie zao msiwapangie waweke scene gani,kubwlianeni na matokeo hayo kwa sababu hakuna anayewalazimisha kutizama.
Mbona sisi wengine wazee wataarifa ya habari na vipindi vya kijamii pale ITV na TBC hatukutani na hayo mambo ?
Mwana kulitafuta mwana kulipata.
Movie zetu za akina mzee kikala , kombolela, beki tatu na the likes. Utayaona wapi hayo