Namuunga mkono mchezaji aliekataa kuvaa jezi za kuhamasisha ushoga licha ya wenzake kuzivaa

Namuunga mkono mchezaji aliekataa kuvaa jezi za kuhamasisha ushoga licha ya wenzake kuzivaa

Hili suala jamii kubwa ya kiislam imelichukulia kama ushindi kwa dini yao kiasi kujiona wao hawakosei/wapo straight sana ktk dunia hii ila mimi naamini (japokuwa atajifanya kwa unafiki kusema amefanya sababu ya dini yake) amefanya vile sababu ya asili yake ya Kiafrika.

Ikiwa kweli anaumia na hilo linamchoma nafsi yake ilibidi agome kupewa posho wala mshahara wowote tena aombe kuondoka klabuni hapo immediately ila yupo bado anapokea mshahara kutoka kwa supporters wa mashoga.
Acha unafiki yeye ndiye aliyesema amefanya hivyo sababu ya Dini yake,kwa nini wewe uje umsemee
 
Kuliwa jicho hata siku moja haiwezi kuwa Sawa na kusema uongo, hakuna binadamu alie timia ila mwanaume kupakuliwa ni nje ya maumbile
Watu wanachukulia ushoga kirahisi sana hadi wanalinganisha na kunywa bia, kusema uwongo, na kuwa na michepuko. Ushoga ni chukizo (abomination) ambayo una act kinyume kabisa na mpango wa Mungu wa uumbaji.......ni jambo ovu kabisa la uasi unaloweza kulifanya kinyume na dhamiri ya asili ya maumbile na uchaji wa kimungu. Sasa waabudu shetani wanachojaribu kufanya ni kuwapotosha watu waamini kwamba hilo ni swala la haki za kibinadamu lakini lengo lao kuu hasa ni kupandikiza uasi uliopindukia mipaka wa wanadamu kwa Mungu Mkuu. Hata hili la kumwingilia mwanamke kinyume na maumbile kuna watu wanalichukulia kawaida, lakini kuna roho mbaya ya uovu nyuma yake. Tujitahidi sana kuwa wastahimilivu kujizuia kufanya mambo ambayo kwa asili tu yanaonekana yapo kinyume kabisa na maumbile, tunajikuta tunafanya uovu mkubwa sana mbele za Mungu.​
 
Analipwa mshahara kwa kucheza mpira
Usilazimishe mambo kuwa tofauti na yalivyo!

Analipwa kwa kucheza mpira the issue ni wanaomlipa mshahara wanaamini kwa kile anachokipinga yeye?wao wanaamini ushoga ni ruksa yeye kama kweli halitaki hilo basi akatae na hizo pesa zao.
 
Natabiri vita ya christians vs muslims itatokea hapa kwa kasi ya SGR kwenye huu uzi [emoji87]

Itokeee kwa sababu zipi ? Wakristo na waislam halisi hawakubaliani na hizi agenda za LBGT. Ukiona mtu anasakama dini fulani kwenye huu uzi ujue huyo ni mfia dini na sio muumini ambaye anajua Dini inaelezea na inataka nini ?
 
Acha unafiki yeye ndiye aliyesema amefanya hivyo sababu ya Dini yake,kwa nini wewe uje umsemee
Mnafiki ni wewe na yeye,kama alisema alifanya hivyo kwa ajili ya dini yake basi hiyo dini siyo wewe wala yeye mnaoijua.

Boss wa club muislam anaamini ktk ushoga,wachezaji wenza waislam wenzie wakiwepo wanaamini ktk ushoga,wanashiriki league ambayo kwa 100% inaamini ktk ushoga ila yeye bado anarandana nao,huo ndo unaosemwa ni unafiki ktk hiyo dini ya kiiislam.

Na kama siyo mnafiki saizi angekuwa kwao Senegal akivua samaki na kutembeza watalii acheni porojo tumpongeze kutuwakilisha Waafrica,amefanya vile kwa sababu nature imemkataza siyo kwa sababu ya dini ni wapumbavu tu wataamini hivi.
 
Ushoga Nin kipo nyuma yake hili swala alikemewi kam wanavylioemea maswla ya uchakataji wa kawaida
 
NAOMBA KUFAHAMU KUANGALIA TU HIZO NEMBO WAKATI HUJUWI LOLOTE KUNA KOSA?
Ni kosa ndiyo.

Ukiizoea hiyo nembo utaona ni jambo la kawaida mwisho na wewe utaweza utamani kuwafanya wenzako au utataka ufanywe,kwanza jiulize kwanini wasibuni nembo za kuwakilisha wanaume marijali ila wabuni nembo za kutetea mashoga?wao ni jamii ya muhimu zaidi au?

Ukiwaza hivi moja kwa moja utagundua kwamba kipo kikundi cha kijinga cha watu wachache kinataka ku-adopt tabia zao za kisirani ktk jamii yetu so dawa ni kuwakataa kwa mbinu zozote.
 
Mnafiki ni wewe na yeye,kama alisema alifanya hivyo kwa ajili ya dini yake basi hiyo dini siyo wewe wala yeye mnaoijua.

Boss wa club muislam anaamini ktk ushoga,wachezaji wenza waislam wenzie wakiwepo wanaamini ktk ushoga,wanashiriki league ambayo kwa 100% inaamini ktk ushoga ila yeye bado anarandana nao,huo ndo unaosemwa ni unafiki ktk hiyo dini ya kiiislam.

Na kama siyo mnafiki saizi angekuwa kwao Senegal akivua samaki na kutembeza watalii acheni porojo tumpongeze kutuwakilisha Waafrica,amefanya vile kwa sababu nature imemkataza siyo kwa sababu ya dini ni wapumbavu tu wataamini hivi.
Unajua chuki ni mbaya sana,wewe unachuki na Dini haki ya Mwenyezi Mungu,tena kwa jinsi alivyokuwa mkalimu huyo Rahmani,Rahm hata ukimchukia lakini atakupa riziki kama watu wengine ili atakusubiria siku ya hukumu
 
Mkuu mimi nina chuki? how....kusema ukweli ktk dini ya mwenyezi Mungu siku hizi imekuwa chuki? haujioni wewe ndiye unaekosea?

Tuongee fact siyo kila kitu ukiweke ktk mrengo wa dini ukifanya hivi mapema sana utakamatika, tukubaliane kwa pamoja hapa kwamba mwamba ametuwakilisha vyema sisi weusi na bara letu Africa ktk kupingana na hila chafu za wazungu na waarabu kwenye mambo yao ya kishoga.

Au mzee wewe unasemaje?
 
Mkuu mimi nina chuki?how....kusema ukweli ktk dini ya mwenyezi Mungu siku hizi imekuwa chuki?haujioni wewe ndiye unaekosea?

Tuongee fact siyo kila kitu ukiweke ktk mrengo wa dini ukifanya hivi mapema sana utakamatika,tukubaliane kwa pamoja hapa kwamba mwamba ametuwakilisha vyema sisi weusi na bara letu Africa ktk kupingana na hila chafu za wazungu na waarabu kwenye mambo yao ya kishoga.

Au mzee wewe unasemaje?
Huyo mwamba ni Muisilamu au Mkristo?
 
Huyo mwamba ni Muisilamu au Mkristo?
Achana na hizo dini mkuu tukizungumzia dini hapa iwe Islam au Christianity huyo tayari kama ni mtihani ameshapata “F” ameshafeli.

Huyo mimi mpaka nakufa naamini amefanya vile kwa msukumo wa asili yake Africa ila yeye labda alishindwa kuuelezea huo msukumo ktk lugha ya kueleweka kirahisi akadandia mgongo wa dini,hakuna dini inayo-support ushoga bali wachache ktk hizo dini wana-support so kama muumini ukiamua kuikataa hii agenda jitenge nao moja kwa moja tena kwa vitendo siyo kwa sitaki nataka.
 
Mbona unazungukazunguka sana,Papa anasemaje kuhusu ushoga,na ulishawahi kusikia ndoya ya Ushoga imefungwa Msikitini,na upande wa makanisa yanasemaje kuhusu ushoga,
 
Mbona unazungukazunguka sana,Papa anasemaje kuhusu ushoga,na ulishawahi kusikia ndoya ya Ushoga imefungwa Msikitini,na upande wa makanisa yanasemaje kuhusu ushoga,
Muoneni huyu!

Haya niambie wewe anachosema Papa kuhusu ushoga,pia nipe hapa link niisome ndoa iliyofungwa ktk Kanisa Catholic analoliongoza Papa nione,napata wasiwasi na kiwango chako cha utambuzi na uchambuzi wa mambo.

Nimeshakwambia ktk hizo imani wapo baadhi ya watu wanao-support huu upumbavu kama ikawa waislam au wakristo sasa sijui unataka nini,tuachane na hayo.

Issue ya Idrisa umeshaelewa kwamba alituwakilisha sisi Waafrica kwa pamoja hata wale wasiokuwa na dini hizi za kuletewa?
 
si kwenye muvi tu, sikuhizi ni mpaka katuni za watoto.

huku kwenye muvi na series wamechochea kuni vibaya mno, yaani kunakuta dume linampiga denda dume lenzake arghhhh, kero tupu
Yani mpaka leo sijawahi kuona hiyo movie ambayo mwanaume anampiga denda mwanaume mwenzie.

So nadhani mtu akijifanya yuko bize sana na mamovie ya hao wapuuzi ndio atakumbana na hayo mambo.

Kama mnaangalia movie zao msiwapangie waweke scene gani,kubwlianeni na matokeo hayo kwa sababu hakuna anayewalazimisha kutizama.

Mbona sisi wengine wazee wataarifa ya habari na vipindi vya kijamii pale ITV na TBC hatukutani na hayo mambo ?

Mwana kulitafuta mwana kulipata.
 
Muoneni huyu!

Haya niambie wewe anachosema Papa kuhusu ushoga,pia nipe hapa link niisome ndoa iliyofungwa ktk Kanisa Catholic analoliongoza Papa nione,napata wasiwasi na kiwango chako cha utambuzi na uchambuzi wa mambo.

Nimeshakwambia ktk hizo imani wapo baadhi ya watu wanao-support huu upumbavu kama ikawa waislam au wakristo sasa sijui unataka nini,tuachane na hayo.

Issue ya Idrisa umeshaelewa kwamba alituwakilisha sisi Waafrica kwa pamoja hata wale wasiokuwa na dini hizi za kuletewa?

Screenshot_20220522-102057.jpg
 
Back
Top Bottom