pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Sawa sijakataa ila kwa nn hili swala wanaaachiwa waislam peke yao dini nyingine zingeungana nguvu ingekuwa kubwa kidogo mkuu.Mkuu hapo psg kuna waislam na wanavaa hizo jezi vizuri tu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sijakataa ila kwa nn hili swala wanaaachiwa waislam peke yao dini nyingine zingeungana nguvu ingekuwa kubwa kidogo mkuu.Mkuu hapo psg kuna waislam na wanavaa hizo jezi vizuri tu,
Watu wanaongozwa na hisia!Ulivyompumbavu hujui PSG inamilikuwa na shekhe Mansur I
USSR
Una wasiwasi gani mzee?Mkuu ww kwani upo upande gani mbona unatupa wasi wasi.
Pombe Ina shida gani kwani?lakini jezi ya kutangaza pombe anavaa
Wawekezaji wa psg tu ni waarabu wa kutoka qatar kuna yule boss wao anaitwa sheikh Nasser al khelafi lakini wapo kimya wanavuta mpunga tuMkuu hapo psg kuna waislam na wanavaa hizo jezi vizuri tu,
Hawa ndugu zetu, wa dini ile huwa wananishangaza sana, kwao Kuna dhambi unaweza tenda, zinakuwa hazina uzito sana mbele ya Mungu wao.
Hapo majuzi, timu kubwa ufaransa ya PSG ilienda kucheza mechi huku wachezaji maarufu wa dini kuu mbili wakiwa wamevaa jezi za kuhamasisha na kuutetea ushoga na usagaji lakini kuna mchezaji moja Idrissa Gueye alikataa kuvaa hizo jezi akilalamika ni kinyume na anachoamini
Hili suala si la kidini tu, ni suala la utu.
Mabeberu haya yanajinadi ni nchi zenye uhuru ila kiukweli sijaona chochote kinachoruhusu mtu awe huru kwa anachoona kwake ni sahihi kukisimamia, mabeberu wanajipa uhuru kwenye mambo wanayoyaona ni sahihi kwao lakini wanawazuia wengine kuwa huru kwa wanachoona ni sawa na hakimdhuru yeyote wanapo kisimamia.
Mtu analipwa kucheza mpira ila wanaanza kumlazimisha awe balozi na mhamasishaji wa vitu ambayo vipo kinyume mno na dini yake na hata tamauni zake.
Kama kuna mashoga na wasagaji, sawa tu waendelee na itikadi zao wao kimpango wao, lakini haya mambo ya kuanza kumlazimisha mtu kutetea mashoga si uungwana hata kidogo.
![]()
NAOMBA KUFAHAMU KUANGALIA TU HIZO NEMBO WAKATI HUJUWI LOLOTE KUNA KOSA?Siku hizi mpaka kwenye movie na series zao ushoga lazima waweke na wanakionyesha kuwa ni kitu cha kawaida sana. Tuwe makini sana na malezi ya watoto wetu
Mimi siyo mpenzi wa movie ila jana nikasema ngoja nisuuze macho, mara ghafla midume inakulana mate.si kwenye muvi tu, sikuhizi ni mpaka katuni za watoto.
huku kwenye muvi na series wamechochea kuni vibaya mno, yaani kunakuta dume linampiga denda dume lenzake arghhhh, kero tupu
Kuliwa jicho hata siku moja haiwezi kuwa Sawa na kusema uongo, hakuna binadamu alie timia ila mwanaume kupakuliwa ni nje ya maumbileHawa ndugu zetu,WA dini ile huwa wananishsngsza sana,kwao Kuna dhambi unaweza tenda,zinakuwa hazina uzito sana mbele ya Mungu wao.
Huyu namfananisha na Binti mmoja mwanamziki,maarufu hapa bongo,aligoma kufsnya tangazo la bia,kigezo dini yake hairuhusu,lakini ufuska uzinzi anafanya,Hilo sio shida,au kwa vile hii ya pili anafanya sirini,hakuna shida!??ila ile ya kwanza inafanyika hadharani,watu Wataona!!! Unafiki mtupu.
Waliomtetea waliniuliza kwani. Hata mie si Kuna dhambi nafanya zingine sifanyi?as if hiyo ndio justification.
Kama unaaamua dhambi basi,acha zote,kuimba,bia,ufuska,sasa mwingine anaomba(dhambi)lakini anasema hawezi kucheza kamari,dini inakataza!!!
Huyo hajui kama Messi na CR7 wameslim. Ni waislam sasa.Mkuu hapo psg kuna waislam na wanavaa hizo jezi vizuri tu,
Analipwa mshahara kwa kucheza mpiraHili suala jamii kubwa ya kiislam imelichukulia kama ushindi kwa dini yao kiasi kujiona wao hawakosei/wapo straight sana ktk dunia hii ila mimi naamini (japokuwa atajifanya kwa unafiki kusema amefanya sababu ya dini yake) amefanya vile sababu ya asili yake ya Kiafrika.
Ikiwa kweli anaumia na hilo linamchoma nafsi yake ilibidi agome kupewa posho wala mshahara wowote tena aombe kuondoka klabuni hapo immediately ila yupo bado anapokea mshahara kutoka kwa supporters wa mashoga.
Nadhani last time Trump alibadili sheria wanajeshi waliobadili jinsia (transgender) wasijumuishwe kwenye jeshi, Biden alipoingia akatengua.Kwamba utakuwa makini kiaje ili asiyafahamu hayo?
Hayo yanakuja automatically tu utamlea vizuri utamnyima hadi simu ya mkononi ila ataangalia kideo atamuona Juma Lokole, Fumbuka na the likes kwisha habari yake.
Kulelea toto la kiume ili libaki strong ni lipige kazi shamba shamba, na mikazi migumu nakuapia hawezi kuwa kama Bobrisky
Ila Arusha kule sheik amelawiti watoto 22 sjui hapo ikoje?Hivi ile dini nyingine wao ushoga kwao umeruhusiwa maana hakuna mfuasi wao hata mmoja anayepinga haya mambo.
Mbona sheik analawiti mzee?Sawa sijakataa ila kwa nn hili swala wanaaachiwa waislam peke yao dini nyingine zingeungana nguvu ingekuwa kubwa kidogo mkuu.
Usichukulie kitu personal tunaongea kwenye dini na nature na utamaduni wa Africa hizo sio mila zetu mbona hvyo vitu hata makanisani vinatokea hyo ni tabia ya mtu sio amri ya mi ninavyojua hakuna dini inayoruhusu ushoga wala kuua ila watu wana ua na wanaoana sasa hapo utasemaje mkuu thats is too personal.Ila Arusha kule sheik amelawiti watoto 22 sjui hapo ikoje?
Kufanya kitu kimoja ambacho hakijaruhusiwa hakikupi uhalali wa kufanya kitu kingine kwa kisingizie eti mbona ile ni dhambi umekubali mi nashangaa hata hvyo kutangaza pombe na ushoga Bora pombe watu wanaweza wakakuelewa ila sio ushoga tamaduni na jamii zetu za Africa hazijazoea hayo mambo dini zote ziungane kupinga huo upuuzi wanaotaka kuanzisha wazungu.Hawa ndugu zetu,WA dini ile huwa wananishsngsza sana,kwao Kuna dhambi unaweza tenda,zinakuwa hazina uzito sana mbele ya Mungu wao.
Huyu namfananisha na Binti mmoja mwanamziki,maarufu hapa bongo,aligoma kufsnya tangazo la bia,kigezo dini yake hairuhusu,lakini ufuska uzinzi anafanya,Hilo sio shida,au kwa vile hii ya pili anafanya sirini,hakuna shida!??ila ile ya kwanza inafanyika hadharani,watu Wataona!!! Unafiki mtupu.
Waliomtetea waliniuliza kwani. Hata mie si Kuna dhambi nafanya zingine sifanyi?as if hiyo ndio justification.
Kama unaaamua dhambi basi,acha zote,kuimba,bia,ufuska,sasa mwingine anaomba(dhambi)lakini anasema hawezi kucheza kamari,dini inakataza!!!