Mleta mada ungejaribu kutumia akili kidogo wala usingepost hayo mashudu.
Sote tunajua Lady JD yuko kwenye vita dhidi ya mnyonyaji wa wasanii yaani Clauds Entartainment(Ruge na Kusaga) sasa inakuwaje katikati ya vita hii, baadhi ya wasanii wenzake wa Bongo flavour(MwanaFA, Linah, Barnaba, Matonya, TID nk) wanajaribu kusimama kinyume naye?
Katika hili unataka tumuone mwanaFA ni mshindani wa Lady JD au sehemu ya Clauds Entartainment?
Jana alikuwa anafanyiwa Sugu, Leo anafanyiwa Lady JD, kesho nani?
MwanaFA ni nani hasa mpaka jide amwogope? Yani okonkwo amwogope ikemefuna??
MwanaFA amepewa ubalozi wa fistula kwa msaada wa hao hao mafisadi wa mziki na ni hao hao wanaoandaa show yake,unaonaje hapo???!! Fikiri nje ya box mkuu na kumbuka FA Katana nyimbo ngapi na Jide zikavuma na tuzo juu?? Kuna dhambi wakipishana???!!!
ewaaah swadakta bwana KUSHAGA, hii ni biashara package kazi yako vizuri watu wanunue sio kullalamika tu kwenye mitandao unaoneea huruma clouds clouds wakati kazi mbovu mwambie mmeo akutoe na TIMES FM mana alivyokuwa clouds likimaliza tu honi la jahazi unaskia live show ya Jaydee na machozi, halafu hawa wanaomtetea humu waende basi na kwenye band kule km wana uchungu kila IJumaa MACHOZI BAND jamani nendeni mana watu wanahudhuria ni wachache jama nyie waenye uchungu...acheni kubinua midomo humu ndani na kubishana hadi mnatoa povu wakati tamsha za jaydee huendi utakuwa mnafiki...
Wasanii wenzake kivipi? Kwani walianza music siku moja . Kila mwanamuziki yuko kivyake na kaingia kwenye music kivyake. Kuhusu show hivi mbona sijawahi kusikia twanga pepeta , msondo , akudo au sikindi akilalamika mwenzake akifanya show siku moja . Si kila mtu ana wapenzi wake au
word..i like itGood say.
Kweli wewe kupe, na fikra za kikupe kupe tuWasanii wenzake kivipi? Kwani walianza music siku moja . Kila mwanamuziki yuko kivyake na kaingia kwenye music kivyake. Kuhusu show hivi mbona sijawahi kusikia twanga pepeta , msondo , akudo au sikindi akilalamika mwenzake akifanya show siku moja . Si kila mtu ana wapenzi wake au