Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,395
watu wanataka Jide aachiwe wateja "bure bure",mi nahitaji apambane vilivyo kwani ndo biashara inavyotaka iwe...Wanamuziki wooote wafanye maonyesho yao siku hiyo it doesn't matter to me ila kwa wafuasi wa Jide wataona ameonewa.Ni muda wa kukomaa kibiashara sasa na kuacha manung'uniko,she has to earn us sio niende kwa Jide kisa kaonewa na Ruge (sympathy),NO,niende kwake kwa kuwa natarajia kitu bora.