johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mtu anapita kura ya maoni halafu hapati nafasi na ccm mnaona fahari kuwatangazia umma kwamba mlifanya hivyo. Ndio maana hamuoni shida mpinzani akishinda mnabadilisha kura zake mnapeleka kwenu. Jamani tuwakatae wezi hawa wa kisiasa.Nachukua fursa hii kukubaliana na mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli kwamba kuwa wa kwanza kwenye kura za maoni siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea.
Kwa mfano Dr Kigwangalla mwaka 2010 alikuwa mshindi wa 3 lakini ndiye aliyeteuliwa kugombea.
Mwaka huu Dr Kigwangalla amegawa baiskeli kwa wapiga kura wote jimboni kwake na ni dhahiri atakuwz namba moja kwenye kura za maoni hivyo itapendeza zaidi ile kanuni iliyotumika kumuingiza bungeni itumike kumrudisha Muhimbili akatibu.
Ni vema wanaccm wakaielewa vizuri kanuni hii kwani ni silaha nzuri sana ya kupambana na rushwa.
Maendeleo hayana vyama!
Ushinde kwa rushwa halafu uachwe tu!Mtu anapita kura ya maoni halafu hapati nafasi na ccm mnaona fahari kuwatangazia umma kwamba mlifanya hivyo. Ndio maana hamuoni shida mpinzani akishinda mnabadilisha kura zake mnapeleka kwenu. Jamani tuwakatae wezi hawa wa kisiasa.
Kwani Kigwangala ametoa rushwa? Na aligawa kama mbunge anayewatumikia watu wake,hapo alikosea nini?Ushinde kwa rushwa halafu uachwe tu!
Kwanini hakwenda kuzigawa sokoni au kwa yatima!Kwani Kigwangala ametoa rushwa? Na aligawa kama mbunge anayewatumikia watu wake,hapo alikosea nini?
Nachukua fursa hii kukubaliana na mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli kwamba kuwa wa kwanza kwenye kura za maoni siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea.
Kwa mfano Dr Kigwangalla mwaka 2010 alikuwa mshindi wa 3 lakini ndiye aliyeteuliwa kugombea.
Mwaka huu Dr Kigwangalla amegawa baiskeli kwa wapiga kura wote jimboni kwake na ni dhahiri atakuwz namba moja kwenye kura za maoni hivyo itapendeza zaidi ile kanuni iliyotumika kumuingiza bungeni itumike kumrudisha Muhimbili akatibu.
Ni vema wanaccm wakaielewa vizuri kanuni hii kwani ni silaha nzuri sana ya kupambana na rushwa.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani Kigwangala ametoa rushwa? Na aligawa kama mbunge anayewatumikia watu wake,hapo alikosea nini?
Sijatetea rushwa nilikuwa nataka ufafanuzi.Acha kutetea rushwa we dogo.
Sijatetea rushwa nilikuwa nataka ufafanuzi.
Mtoa mada anatakiwa afafanue kama ni viashiria vya ruswha au ni jambo ambalo halina uhusiano na rushwa.Kuna ufanunuzi gani kwenye hilo tendo?
Mtoa mada anatakiwa afafanue kama ni viashiria vya ruswha au ni jambo ambalo halina uhusiano na rushwa.
Mbunge wa Ccm kuwagawia viongozi wa Ccm jimboni kwake usafiri wa baiskeli ni rushwa?
Kigwangalla leo amekosekana kwenye tukio kubwa la kihistoria la uzinduzi wa mbuga na kivuko huko Geita na Naibu waziri Kinyasu alikuwa akitambulishwa kama " Kaimu" waziri.Kigwangalah ajiandae kuendesha gari mwenyewe bila dereva
Wakati wa uchaguzi ni rushwa!Mtoa mada anatakiwa afafanue kama ni viashiria vya ruswha au ni jambo ambalo halina uhusiano na rushwa.
Mbunge wa Ccm kuwagawia viongozi wa Ccm jimboni kwake usafiri wa baiskeli ni rushwa?
Kwani tayari kipyenga kilikuwa kimepigwa?Wakati wa uchaguzi ni rushwa!
Wewe unadhani Simba au Yanga hutoa rushwa baada ya mechi kuanza?!Kwani tayari kipyenga kilikuwa kimepigwa?
Sitetei kitu. Nataka nifahamishwe,kwani mbunge akigawa sukari kwa wagonjwa mwaka wa uchaguzi ni rushwa?Kwanini asubiri mpaka kipindi cha karibia uchaguzi? Hivi unatetea nini hasa hapa?
Ni rushwa labda kama hagombei tena!Sitetei kitu. Nataka nifahamishwe,kwani mbunge akigawa sukari kwa wagonjwa mwaka wa uchaguzi ni rushwa?