Namuunga mkono Rais Magufuli hata Dr Kigwangalla alikuwa namba 3 nyuma ya Bashe na Selelii

Namuunga mkono Rais Magufuli hata Dr Kigwangalla alikuwa namba 3 nyuma ya Bashe na Selelii

Hii hata upinzani ipo, esther bulaya alikuwa wa 3 kwenye kura za maoni lakini akapitishwa
Mtu anapita kura ya maoni halafu hapati nafasi na ccm mnaona fahari kuwatangazia umma kwamba mlifanya hivyo. Ndio maana hamuoni shida mpinzani akishinda mnabadilisha kura zake mnapeleka kwenu. Jamani tuwakatae wezi hawa wa kisiasa.
 
Jecha ni
Mfia chama na kaonesha kwa vitendo kuliko
Watoto wa Rais au huyo Mbarawa

Jecha ni mfia na Mlinzi sahihi wa mapinduz ya 1964
Inaonekana CCM Zanzibar wamewaambia makada wao wajitokeze kwa wingi zaidi kuchukua form ya Urais kuficha fedheha ya Jecha. Yani issue ya Jecha hata maCCM wenyewe hawaelewi alitokea wapi.

Tafakari hii.
 
Nachukua fursa hii kukubaliana na mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli kwamba kuwa wa kwanza kwenye kura za maoni siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea.

Kwa mfano Dr Kigwangalla mwaka 2010 alikuwa mshindi wa 3 lakini ndiye aliyeteuliwa kugombea.
Mwaka huu Dr Kigwangalla amegawa baiskeli kwa wapiga kura wote jimboni kwake na ni dhahiri atakuwz namba moja kwenye kura za maoni hivyo itapendeza zaidi ile kanuni iliyotumika kumuingiza bungeni itumike kumrudisha Muhimbili akatibu.

Ni vema wanaccm wakaielewa vizuri kanuni hii kwani ni silaha nzuri sana ya kupambana na rushwa.

Maendeleo hayana vyama!
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu
 
Nachukua fursa hii kukubaliana na mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli kwamba kuwa wa kwanza kwenye kura za maoni siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea.

Kwa mfano Dr Kigwangalla mwaka 2010 alikuwa mshindi wa 3 lakini ndiye aliyeteuliwa kugombea.
Mwaka huu Dr Kigwangalla amegawa baiskeli kwa wapiga kura wote jimboni kwake na ni dhahiri atakuwz namba moja kwenye kura za maoni hivyo itapendeza zaidi ile kanuni iliyotumika kumuingiza bungeni itumike kumrudisha Muhimbili akatibu.

Ni vema wanaccm wakaielewa vizuri kanuni hii kwani ni silaha nzuri sana ya kupambana na rushwa.

Maendeleo hayana vyama!
Yalikuwa maamuzi ya nec nasiyo zidumu fikra za mwenyekiti
 
Back
Top Bottom