Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Alikua takukuru kuna maelezo anatoaKigwangalla leo amekosekana kwenye tukio kubwa la kihistoria la uzinduzi wa mbuga na kivuko huko Geita na Naibu waziri Kinyasu alikuwa akitambulishwa kama " Kaimu" waziri.
Au mlikuwa naye hapo Ufipa?!!
Mtu anapita kura ya maoni halafu hapati nafasi na ccm mnaona fahari kuwatangazia umma kwamba mlifanya hivyo. Ndio maana hamuoni shida mpinzani akishinda mnabadilisha kura zake mnapeleka kwenu. Jamani tuwakatae wezi hawa wa kisiasa.
Umenena vema bwashee!Hii hata upinzani ipo, esther bulaya alikuwa wa 3 kwenye kura za maoni lakini akapitishwa
Ushinde kwa rushwa halafu uachwe tu!
Inaonekana CCM Zanzibar wamewaambia makada wao wajitokeze kwa wingi zaidi kuchukua form ya Urais kuficha fedheha ya Jecha. Yani issue ya Jecha hata maCCM wenyewe hawaelewi alitokea wapi.
Tafakari hii.
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tuNachukua fursa hii kukubaliana na mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli kwamba kuwa wa kwanza kwenye kura za maoni siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea.
Kwa mfano Dr Kigwangalla mwaka 2010 alikuwa mshindi wa 3 lakini ndiye aliyeteuliwa kugombea.
Mwaka huu Dr Kigwangalla amegawa baiskeli kwa wapiga kura wote jimboni kwake na ni dhahiri atakuwz namba moja kwenye kura za maoni hivyo itapendeza zaidi ile kanuni iliyotumika kumuingiza bungeni itumike kumrudisha Muhimbili akatibu.
Ni vema wanaccm wakaielewa vizuri kanuni hii kwani ni silaha nzuri sana ya kupambana na rushwa.
Maendeleo hayana vyama!
Hii kali!Ni rushwa labda kama hagombei tena!
Sitetei kitu. Nataka nifahamishwe,kwani mbunge akigawa sukari kwa wagonjwa mwaka wa uchaguzi ni rushwa?
Mbowe kampelekea Kigwangalla fomu xa urais usiku huu!Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu
Yalikuwa maamuzi ya nec nasiyo zidumu fikra za mwenyekitiNachukua fursa hii kukubaliana na mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli kwamba kuwa wa kwanza kwenye kura za maoni siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea.
Kwa mfano Dr Kigwangalla mwaka 2010 alikuwa mshindi wa 3 lakini ndiye aliyeteuliwa kugombea.
Mwaka huu Dr Kigwangalla amegawa baiskeli kwa wapiga kura wote jimboni kwake na ni dhahiri atakuwz namba moja kwenye kura za maoni hivyo itapendeza zaidi ile kanuni iliyotumika kumuingiza bungeni itumike kumrudisha Muhimbili akatibu.
Ni vema wanaccm wakaielewa vizuri kanuni hii kwani ni silaha nzuri sana ya kupambana na rushwa.
Maendeleo hayana vyama!
Nec iliyoshindwa kumtetea Lowassa wakaishia kumwimbia wana imani naye ilhali amesha fyekelewa mbali!Yalikuwa maamuzi ya nec nasiyo zidumu fikra za mwenyekiti