Namwona Saada Mkuya Salum kama ana uwezo mkubwa sana wa kumsaidia Rais Samia kujenga taifa

ngaiwoye

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
2,150
Reaction score
3,225
Hivi kuna uwezekano huyu dada akaachishwa kazi katika BARAZA la mapinduzi na kuletwa kwenye BARAZA la mawaziri la JMT? Namwona kama ana uwezo mkubwa sana wa kumsaidia Rais wa Jamuhuri ya Muungano katika SHUGHULI za kila siku za kulijenga hili Taifa.

Je, kuna uwezekano waziri akateuliwa kwenye Baraza la Mawaziri la JMT na hivyo automatically kuachana na nafasi huko SMZ?

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Huo uwezo wake unaouona leo ni upi??si alishakuwepo kwenye Baraza la Mawaziri,alichosaidia ni kipi??
 
Mmepatwa na kitu gani? Hadi akili ikaenda halijojo
 
Asingekuwa waziri wa Fedha na Mipango wala usingemuona kila mara!!
 


Una maana gani? Huo uwezekano ni kwamba unaomba iwe hivyo au vipi? Ni Tetesi au ni nini?

Rubbish
 
Alikuwepo MOF hamna jipya business as usual.
 
Katika mawaziri wa fedha mazwazwa tuliobahatika kupata ni pamoja na mama mdogo saada M.
 
Ukiacha roho mbaya na ubinafsi yule dada yupo vizuri
 
Huyu si ndiye alijisifu mwaka mzima bungeni ameanzisha namba mpya za pikipiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…