Namwona Saada Mkuya Salum kama ana uwezo mkubwa sana wa kumsaidia Rais Samia kujenga taifa

Hivi kuna uwezekano huyu dada akaachishwa kazi katika BARAZA la mapinduzi na kuletwa kwenye BARAZA la mawaziri la JMT? Namwona kama ana uwezo mkubwa sana wa kumsaidia Rais wa Jamuhuri ya Muungano katika SHUGHULI za kila siku za kulijenga hili Taifa.

Je, kuna uwezekano waziri akateuliwa kwenye Baraza la Mawaziri la JMT na hivyo automatically kuachana na nafasi huko SMZ?

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Upumbavu tu nchi Ina tatizo la watu? Au kartiba
 
Hivi kuna uwezekano huyu dada akaachishwa kazi katika BARAZA la mapinduzi na kuletwa kwenye BARAZA la mawaziri la JMT? Namwona kama ana uwezo mkubwa sana wa kumsaidia Rais wa Jamuhuri ya Muungano katika SHUGHULI za kila siku za kulijenga hili Taifa.

Je, kuna uwezekano waziri akateuliwa kwenye Baraza la Mawaziri la JMT na hivyo automatically kuachana na nafasi huko SMZ?

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
🚮🚮🚮🚮
Ukute wewe ndo saada mkuya mwenyewe unajipigia promo hapa..
 
Mwizi mkubwa huyo, labda aje kumsaidia mbinu zaidi Samia!
 
Hivi kuna uwezekano huyu dada akaachishwa kazi katika BARAZA la mapinduzi na kuletwa kwenye BARAZA la mawaziri la JMT? Namwona kama ana uwezo mkubwa sana wa kumsaidia Rais wa Jamuhuri ya Muungano katika SHUGHULI za kila siku za kulijenga hili Taifa.

Je, kuna uwezekano waziri akateuliwa kwenye Baraza la Mawaziri la JMT na hivyo automatically kuachana na nafasi huko SMZ?

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
alishamuwa waziri wa fedha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna uwezekano huyu dada akaachishwa kazi katika BARAZA la mapinduzi na kuletwa kwenye BARAZA la mawaziri la JMT? Namwona kama ana uwezo mkubwa sana wa kumsaidia Rais wa Jamuhuri ya Muungano katika SHUGHULI za kila siku za kulijenga hili Taifa.

Je, kuna uwezekano waziri akateuliwa kwenye Baraza la Mawaziri la JMT na hivyo automatically kuachana na nafasi huko SMZ?

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Hakuna muisiharamu mwenye uwezo wa kiakili tz shika haya maneno yangu.kwa sababu muisiharamu kuwa mzalendo ni ndoto
 
Hivi kuna uwezekano huyu dada akaachishwa kazi katika BARAZA la mapinduzi na kuletwa kwenye BARAZA la mawaziri la JMT? Namwona kama ana uwezo mkubwa sana wa kumsaidia Rais wa Jamuhuri ya Muungano katika SHUGHULI za kila siku za kulijenga hili Taifa.

Je, kuna uwezekano waziri akateuliwa kwenye Baraza la Mawaziri la JMT na hivyo automatically kuachana na nafasi huko SMZ?

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app

Futa uchafu huu, sbb akili yako ndogo sana ndio maana unaona ana uwezo, rubbish
 
Hivi kuna uwezekano huyu dada akaachishwa kazi katika BARAZA la mapinduzi na kuletwa kwenye BARAZA la mawaziri la JMT? Namwona kama ana uwezo mkubwa sana wa kumsaidia Rais wa Jamuhuri ya Muungano katika SHUGHULI za kila siku za kulijenga hili Taifa.

Je, kuna uwezekano waziri akateuliwa kwenye Baraza la Mawaziri la JMT na hivyo automatically kuachana na nafasi huko SMZ?

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Ni huyu Saada mwenye diploma 3 ambazo ukizikisanya zinakuwa Masters?
 
Back
Top Bottom