Namwonea sana huruma Mpenzi wangu, Ntachomfanya atajuta kunifahamu.

No.3 nimekuelewa
 
Watu wengi naona wanamshangaa mtoa mada wakati jambo la kawaida tu, unaweza kumpenda mtu ye anakuona kero tu anakufanyia maigizo sema tu huyu mdau kaamua kuwa mkweli wa nafsi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kifupi jamaa anaongea ukweli 100% ya sisi wanaume yanayo tukuta mi pia ni muhanga wa iyo kitu till now sema tu vitu vingine nashindwaga kushare uku jf
 
Huu upuuzi peleka Facebook
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijakuta bikra mkuu ila kwa mujibu wa maelezo yake ni kwamba hajawahi kua na mahusiano kama hayaa
yan hakuawahi ku enjoy mapenzi kama anavyo enjoy kwangu! [emoji18]
Mpe jamaa namba ya simu ya huyo manzi
 
Afadhali msaidie huyo mwanamke ila usimwache
 
kama humpendi unamwoneaje huruma sasa mwache aende akatafute ataemfaa acha kumpotezea mda wakati umri wake unasogea si vizuri hivyo
 
Wewe elimu yako ya darasa la 5 ndio tatizo lako

Pili utakuwa kibamia jaribu kutafuta mfupi mwezako
 
Umeshamtambulisha kwa mama yako, kwa ndugu zako, kwa rafiki zako. Leo unasema unamuacha???!!! UTAKUJA KUJUTA, YOU ARE A STUPID YOUNG BOY.
NITUMIE NAMBA ZAKE PM NAMCHUKUA JUMLA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na huyo mwanamke anayekupenda,katafute mwanamke unayempenda lakini nafsi yake haiko kwako,iko kwa mwanaume mwingine.Ndiyo utajua kwa nini miti Mayo INA matawi kma Benji lakini haipukutishi hela
 
Anakupa pambuchi unagegeda tani yako halafu unataka kumwacha nakuonea huruma sana maana utayempata utawekewa masharti kwa wiki mara moja tu utamkumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshamtambulisha kwa mama yako, kwa ndugu zako, kwa rafiki zako. Leo unasema unamuacha???!!! UTAKUJA KUJUTA, YOU ARE A STUPID YOUNG BOY.
NITUMIE NAMBA ZAKE PM NAMCHUKUA JUMLA.

Sent using Jamii Forums mobile app

Broo cjamtambulisha nikwamba ilitokea tu akawa na number ya mama ngu
 
Wewe elimu yako ya darasa la 5 ndio tatizo lako

Pili utakuwa kibamia jaribu kutafuta mfupi mwezako

Darasa la 5 [emoji28][emoji28] ndugu karne hizi kuna mtu kaishia darasa la 5 kwel? mana hata hao darasa la 7 ni wakuhesabu.
Kibamia labda baba ako mzazi.
 
Achana na huyo mwanamke anayekupenda,katafute mwanamke unayempenda lakini nafsi yake haiko kwako,iko kwa mwanaume mwingine.Ndiyo utajua kwa nini miti Mayo INA matawi kma Benji lakini haipukutishi hela

Ushauri mchungu huu [emoji87]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…