Namwonea sana huruma Mpenzi wangu, Ntachomfanya atajuta kunifahamu.

Namwonea sana huruma Mpenzi wangu, Ntachomfanya atajuta kunifahamu.

nakushauri chapa lapa tu.....if a man has never loved a woman...then he shall never ever love her....iyo ndio principle....huna mapennz naye na hakuna siku yatakuja......ungekuwa mwanamke sawa...nimemaliza
 
Mkuu usipate tabu nipe mimi uyo mwanamke nimchukue mazima, cha kufanya nipm tu namba yake mengine niachie mimi. Na ninakuhakikishia ndani ya siku mbili atakuja kukuacha yeye mwenyewe. Sijisifii ila kwenye sekta ya kutongoza wanawake nipo vizuri sana natongoza mpaka mwanamke analia, kamasi zinatoka akitoka hapo anaenda chooni kuharisha.

"Typed with my thumbs."
You should be a professor of women affairs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pamoja na kwamba humpendi huyo mwanamke ila utakuja kumpenda na kumkumbuka sana siku ukipata mwanamke mwingine na atakuwa akijurudiarudia akilini mwako kwa kuwa hakukutenda ubaya.
 
Habari wanaJF, am sure mkopoa sana ndugu zangu..

LET NIENDE KWENYE MADA MOJA KWA MOJA..

Wakati nipo chuo nilibahatika kupata mpenzi ambae kiukwel nilimtongoza kwa kujaribu tu lakini chakushangaza ni kwamba akanikubalia tu bila kujua sikua serious... nikaona isiwetabu nikawa nae kwenye mahusiano mpaka wakati huu naandika hii thread ndo mpenzi wangu actually pamoja na kwamba michepuko ipo lakini yeye ndo amekua currently kwa sababu
1)Hajawahi kuniomba pesa ingawa me ndo nikiwa nakipengele nikimwambia nashida na pesa huwa ananipa bila kinyongo_

2)Hana michepuko hii ni kwasababu naweza kukaa nasimu yake hata siku 3 na nisigundue chochote licha ya yeye kukuta sana sms za michepuko kwenye simu yangu_

3)She care about me
yani nikimwambia siko poa au naumwa yupo tayari kuacha kazi zake zote nakuja kunihudumia

4)Ni mtam yani papuchi ake hua ananipa muda wowote kiukwel hua naenjoy sana mapenzi yke

SHIDA NI NINI_

Shida ni kwamba pamoja na hayo yote ni kwamba nafsi yangu haijaridhia na wala sidhani kama naweza kumuoa yeye... Yani am sure ananipenda sana but kwa kweli cfikilii kumuoa yeye kabisa

SABABU NI NINI_

Sababu ni kwamba amenizidi umri, chapili ni kwamba amenizidi urefu kitu ambacho sijakipenda kwa kweli
chatatu ni kwamba simpendi tu alivyo...

So nimekua nikiwaza sana jinsi ya kumuacha' yan namuonea sana huruma kwa kua yeye anafikili me ndo mwanaume wake wa maisha' kitu ambacho hakipo kabisa kwenye akili yngu...

Naombeni ushauli ndugu zangu' nitumie mbinu gani kumuacha huyu bidada mana kwa umli wake sasa hivi anahitaji ndoa~~ while binafsi kuoa sio leo wala kesho,, na hata nikitaka kuoa siwezi kumuoa yeye'
🤣🤣
 
Back
Top Bottom