Namwonea sana huruma Mpenzi wangu, Ntachomfanya atajuta kunifahamu.

Uvulana unakusumbua ungekua mwanaume usingekua na mambo ya kijinga namna hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaamua tu, wakwangu alipoamua alikuwa busy busy. Kwakuwa na mimi niko busy ilipita miezi mitatu sijamuona lakini tunaongea. Christmas na New Year nilikuwa na vi holiday kazini nikapanga plans niwe na mupenzi ndipo nilipojua he was long gone.
Very sorry,kwa nini alikufanyia hivo? Alikuwa amepata mwingine ama
 
Naunga mkono hojayako kipengele cha mwisho; mwenye bahati hana huruma, na mwenye huruma hana bahati√√ simple like that way.

Sijawahi kupata bahati kama za huyu jamaa, siku nkizipata cjui itakua vip. Ala jamaa namshauri asiendelee kumpotezea mda mdada wa watu, amwache mapema ajue kitu cha kufanya mapema ili asiendelee kupoteza mda na pesa zake. Alaf siku akimuona nanjemba iliyo form nae strong bond isimuume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna sababu ya kumuacha hapo kama ni umri just be a men kama ni urefu una shida gani kwenye mahusiano.
changamsha akili kumbuka tuu hapo upo na mwanamke aliekuzidi umri kuwa na hao watu ni mwanya wa wewe kupanuka kiakili wanawake kama hao ni tofauti na wasichana uliowapita jebu kaa hapo mkuu utapata madini adimu lakini kwa hizo sababu hapo sijui urefu umri hapana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu na mimi kuna demu ananielewa ila shida ni umri kanizidi ila vigezo vingine yupo poa huwa nawaza nashindwa cha kufanya maana anawatosa washkaji.na ukicheki mimi hata siendani nae kanizidi vigezo vingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
una pepo ng'ombe wewe sasa unamtumia mtoto wa watu wakati unajua humtaki why u make her to fall deeper...???gentleman inatakiwa upambane ukubaliane na hali ukipendwa hivo ukachezea na wewe utachezewa milele na utapata mwanamke ambaye naye atakuona wewe ni kituko NA UFUPI WAKO badala ujivunie kupendwa we unaringa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipe namba yake niunge tela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duniaaaaaaaaaaa haina huruma eeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…